Recent content by Kamanda Mlo

  1. K

    JamiiForums Tanzania New Habari 2006 Ltd washindwa kufikia muafaka na wafanyakazi 51 katika Tume ya Usuluhishi wa migogoro kazini (CMA)

    Dar es Salaam WAFANYAKAZI 51 waliopunguzwa kazi na Kampuni ya New Habari 2006 Ltd wameshindwa kufikia muafaka na mwajiri wao katika Tume ya Usuluhishi wa migogoro kazini (CMA) Kanda ya Dar es Salaam. Kampuni hiyo ambayo Ofisa Mtendaji wake Mkuu ni Mbunge wa Nzega Mjini na Naibu Waziri wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Charles Mulinda alitimka na Mil: 30 za Msama

    Habari zilizotufikia leo jioni ni kwamba yule Mhariri mtendaji Charles Mulinda (DIRA) Fisadi alitoroka na kitita cha shilingi milioni 30 za Alex Msama (Bw. PEPSI). Inasemekana huko alikoelekea ambako Msama anadai ni kwa Mafisadi wenzake hivi sasa wako kwenye mkakati wa kumlipa Msama fedha zake...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Alex Msama atimua Mhariri mtendaji (Dira) fisadi

    Habari zilizotufikia wiki iliyopita zinadai kwamba mmiliki wa Gazeti la DIRA ya Mtanzania Alex Msama amemtimua Mhariri mtendaji wa gazeti hilo Charles Mulinda kwa madai kwamba ana uhusiano wa karibu na MAFISADI, tetesi hizo zikaendelea kutiririka kwamba Mhariri huyo hivi sasa ametimkia kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hili la katibu wa bunge kashililah likoje?

    Thomas Kashililah na ufisadi wa kutisha bunge Kwa waliosoma ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, naomba wanisaidie katika hili. Nimewahi kulisoma katika gazeti moja juu juu, nikajua kuwa lina mwendelezo kutokakana na unyeti wake, lakini ajabu ni kwamba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hili la katibu wa bunge kashililah likoje?

    Thomas Kashililah na ufisadi wa kutisha bunge Kwa waliosoma ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, naomba wanisaidie katika hili. Nimewahi kulisoma katika gazeti moja juu juu, nikajua kuwa lina mwendelezo kutokakana na unyeti wake, lakini ajabu ni kwamba...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Freeman Mbowe ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwa wananchi, aliyejizolea umaarufu kupitia kauli yake ya kilio cha umasikini huku akiweka mikono yake kichwani kama ishara ya kulia. Na hii inatokana na kile kinachoonekana kwake kwamba watanzania wengi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la tanzania daima na malipo ya tarehe 90

    Inakera sana mtu anapofanya kazi kwa bidii na uaminifu huku akitegemea malipo ya SINTOFAHAMU nalipwa lini? Hii ni habari ambayo nina uhakika nayo kwa 100%. Wafanyakazi wa kampuni ya FREEMEDIA inayochapisha Gazeti la Tanzania Daima na Sayari mpaka sasa hawajalipwa mshahara wao wa January, ila...
Back
Top Bottom