Recent content by Kamala Method

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wabunge wa Chadema kutohudhuria mikutano ya maendeleo ya Rais Magufuli itaisha lini?

    Mlichagua was mini? Hapo ndipo mjifunze
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dr bashiru amjibu lowassa kiume

    Dr. Bashiru umekuwa muwazi nasema songa mbele bila woga okoa chama kuondoa wrote wasiokitakia mema chama NA kuwapasha wale kupandikiza chuki zisizokuwa na Tina ila kutaka kupakazia serikali ionekane mbaya. Dr songa mbele bila woga.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kukamilika barabara ya juu TAZARA kumepoteza fursa nyingi sana

    Umenena mambo mazito mtu kama huyu ni was kuurumia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Jamani naomba MTU andika kitu ambacho in cha kuelimisha NA si kudanganya watu au kuchonganisha. Historian in kitu cha msingi sana uwezi kusimulia historia ya kugesigesi. Maneno uliyopost in hatari sana ambavyo unaweza ukazulisha vita isiyomalizika.TAF. hakikisha unapata taarifa za kweli NA ndipo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2017 Edward Lowassa Kapotea Kabisa, 2018 Atafufuka Au Ndiyo Mwisho Wake Kwenye Medani Ya Siasa?

    Alisema akishindwa ataenda kufuga ng'ombe kwake Arusha. Anasubiri mini?
Back
Top Bottom