Recent content by Kamakabuzi

  1. Kamakabuzi

    Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

    Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
  2. Kamakabuzi

    Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

    Anatafuta mlango wa bahari kule west, akishaupata haihitaji dsm port tena. Hapo ndipo ataanza mapambano ya kuja east. Ngara, Karagwe jiandaeni
  3. Kamakabuzi

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Hayo yapo katika nchi nyingi tu duniani. Viwango tu ndivyo vinatofautiana kutegemea uchumi wa nchi na mtu husika
  4. Kamakabuzi

    DOKEZO Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

    Mimi nadhani hoja siyo kukaa Tanzania, hoja ni je wanafanya nini?
  5. Kamakabuzi

    Taarifa fupi juu ya kwanini SIMBA walizuiwa kuingia uwanjani -Lupaso

    Kutofuata kanuni na sheria Tanzania ni jambo la kawaida, Si kwenye mpira tu bali hadi kwenye siasa. Haya ya Yanga na Simba ni matokeo ya tatizo.
  6. Kamakabuzi

    PreGE2025 Mch Msigwa: Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka mpaka alipofurumshwa, Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

    Kama nilisikia vizuri Lisu, katika uteuzi wa nafasi za wajumbe wa kamati kuu aliacha nafasi moja wazi na alisema ameiaccha kwa wale watakaopata ajali za kisiasa kutoka vyama vingine kama yaliyokuwa yamewapata akina Sumaye. Je si Msigwa huyo? https://www.youtube.com/watch?v=_BB3bKeLYlo
  7. Kamakabuzi

    Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Mnapitiliza, kwani mlitaka Mbowe ndiye aende theatre? Sikubaliani na wote kugombea uenyekiti - wamuombe Mnyika ashike nafasi hiyo maana hawa wawili wameshakigawa Chama
  8. Kamakabuzi

    Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Kwangu mimi niliyewahi kumuuguza mwanangu hadi anakaribia kufariki, mtu yeyote hata yule aliyenitia nguvu za kustahmili uchungu ule, namuona kama muokozi wa mwanangu. Kinachoponya mgonjwa katika hali kama ile ni mengi. Kwa kesi ya Lisu Kuanzia yule aliyemtoa pale alipopigiwa risasi...
  9. Kamakabuzi

    Sekretarieti ya Ajira ipitie tena na kurekebisha makosa kwa waombaji wenye sifa

    Hii sekretariat ina shida. Naona matanganzo ya kuitwa kwenye ajira kila halmashauri inatoa tangazo lake. Tutakuwa na matangazo zaidi ya 100! Kwa nini wasitoe tangazo moja lenye orodha yote na vituo walikopangiwa? Halafu wote wanatakiwa kwenda kurundikana Dodoma kuchukua barua! Huu sio mwanya wa...
  10. Kamakabuzi

    Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Nakumbuka rais aliwahi kusema kuwa .... wametembea wee, lakin wamepata nini!! Akimaanisha kuwa waliwaaacha wakaamdamana lakini hakuma walichopata. Busara hiyo hiyo ingetumika umaarufu wao ungepungua. Nakumbuka kisa cha Nadhani alikuwa Kambona anarudi Tanzania. Wakati huo waziri wa mambo ya ndani...
  11. Kamakabuzi

    Multiple Admission 2024/2025

    Je hii source ni genuine? https://ajirakazi.co.tz/news/tcu-announces-list-of-multiple-selected-applicants/ Japokuwa wanadai ni TCU list, bado hiyo link haikupeleki TCU bali ajirakazi
  12. Kamakabuzi

    PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Na huwa anawaambiaga, kama ni hongo ili ninyamaze - Hapana. Aliwahi kusema maneno hayo walimlaumu eti anamsema vibaya Mama wakati amemsaidia mengi!
Back
Top Bottom