Recent content by kama_jana

  1. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kufanya Mkutano Jangwani tarehe 26 siku ya Jumapili

    Sawa sawa
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kufanya Mkutano Jangwani tarehe 26 siku ya Jumapili

    Kuwe na ufafanuzi kidogo, tayari kwa kifanya nini? Kuna mambo mengine hayahitaji utayari, mfano kuwa tayari kushindwa na ccm
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wizara ya kilimo kulalamikiwa hapa JF, tovuti yafunguliwa

    Hii ni mojawapo ya faida ya mitandao ya kijamii
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Hamieni
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kawa lulu bungeni; wabunge wapanga foleni kumuona

    Acheni mambo ya kutuona kama wote hapa hatutumii akili za ziada, Naomba mtuthibitishie hapa hiyo follen iko wapi, picha za collage ndo mnaita foleni. Pili hiyo foleni inapangwa kwenye session gani kwenye shughuli za kibunge?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

    Sio kama wanapendelea wanaume wa kenya na huko kwingineko! Ukiona hivyo ujue hao wanachunwa tu bas
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kambi ya jeshi yatekwa Nigeria

    Kuteka kambi ya jeshi sio kitu kidogo, Ujue vita inapotokea ni opportunity kubwa sana kwa baadhi ya watu, wananufaika na vita inayoendelea kwenye nchi zenye utajiri wa vitu flani
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya Tanzania yazuiwa kuchukua watalii Jomo Kenyatta

    Nakuunga mkono mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kundi la ISIS lawachinja wapiganaji wake zaidi ya 120 kwa kujaribu kutoroka

    Waacheni wafu wawazike wafu wenzao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya Tanzania yazuiwa kuchukua watalii Jomo Kenyatta

    Mkuu lazima kwenye masuala ya maendeleo tuwe na uchu, Kuhusu safari za ndege nakubaliana na wewe, lakini ukija kwenye hoja yangu ya sisi kuchelewa kwenye masuala ya kitalii utakubaliana na mimi, Hawa wenzetu walianza kujitangaza mapema wakati sisi bado tuko usingizi wa pono, yawezekana hao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya Tanzania yazuiwa kuchukua watalii Jomo Kenyatta

    Bado suala liko pale pale tu mkuu, mimi ni mtanzania lakini sio lazima nitetee kila kitu kuhusu nchi yangu hata kama ninkibovu, Wakati kenya wanajitangaza sisi tulikuwa wapi na tulikuwa tunafanya nini?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Intelligence ya Kenya ni dhaifu sana ukilinganisha na ya Tanzania

    Ukianzisha uzi ujitosheleze kwa hoja sio mchanyato kama huu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya Tanzania yazuiwa kuchukua watalii Jomo Kenyatta

    Ni udhaifu wetu watanzania kutokuwa na viwanja vya kupokelea wageni, kwa nini na wakenya wasifanye wanavyotaka? Imagine mtalii anakuja Tanzania lakini anatua na ndege Kenya halafu ndo achukuliwe na gari hadi Tanzania, tena eti gari la Tanzania, wazuiwe tu ili viongozi wetu wajifunze, Binafsi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waliotembea kwa mguu kutoka Geita, wapandishwa Kizimbani

    Kwani hao vijana waliandamana au walitembea kwa utashi wao?
Back
Top Bottom