Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliponadi Sera na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Mlowo Jimbo la Mbozi Mkoani Songwe akiwa njiani kuelekea Mkoa wa Mbeya kwenye Mikutano ya Kampeni za...
Mapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa.
Zaidi ya shilingi trilioni 3 zimetumika Morogoro katika kipindi cha miaka minne kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33...
Serikali inayoongozwa na awamu ya Sita Dkt.Samia Suluhu Hassan(SSH)amesema atagharamia vipimo takriba watu 100 kuwapatia matibabu wasiokuwa na uwezo.Hasa wale wenye magonjwa yasiyoambukizwa mfano Moyo,kisukari na Figo
#Haijapatakutokea
#Tutawashangaza
TLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.
Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya...
Rais Samia amekua na mchango mkubwa katika sekta ya sanaa na utamaduni,katika kujali na kuthamini Mchango huo ameamua kuanzisha mfuko wa kutoa mikopo kwa wasaniii hadi shilingi milioni 100 kwa kila mmoja,lengo ni kuwawezesha kujiimarisha kifedha na vifaa bora vya kazi.
Katika mfuko huu pia kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.