Asanteni Morogoro kwa mapokezi mazuri

Asanteni Morogoro kwa mapokezi mazuri

Sioni kiongozi ndani ya ya samia
Ukweli ni kwamba urais kwa sa100 tumepigwa kama taifa kwa miaka mi5 mingine mbele, sad!!.
Wanaomshabikia ni kwasabb ya eidha kupewa fedha, uchawa, teuzi au kulinda vibarua!!!.
Lakini kwa wananchi ambao hawamo ktk hayo makundi na ambao ndio wengi zaidi nchini...sa100 hafai kabisa, hatoshi kwenye urais labda unaibu waziri!!!.
 
Back
Top Bottom