Kilaza ndo hutakiwa kusaidiwa aidha kimawazo au vngnevyo...naamin ukija kutoka hum utakuwa umepata kitu fulan...ambacho nahc knaweza kukusaidia kwa namna moja ama upande wa pil!!
Mapenz ni mchezo wa kijiti!!!!! Kama binti anamalza darasa la saba tayar ashatolewa bikra.....unafkr utampata wap ambaye hajawah kuingiliwa?? Matokeo yake ubakaji wa watoto under 10yrs!!!
Viungo hvyo ni pa1 na
1.midomo(wa juu na wa chin)
2.Ufiz
3. Koromeo
4. Mapaf na vingne huku vikiongozwa na
5. Ulimi
Viungo hv huwa bdo lain sana kipnd cha utoto ni ndo maana mtoto hushka lugha inayomzunguka kwa urahc katka mazingira yake!!
Kwa wale black Amercn ambao wamekulia huko (wakiwa wadogo) ni kawaida sana maana mtoto anauwezo wa kujfunza/kuiga lugha yyte atleast chin ya miaka 6 hv...maana viungo vya utamkaji huwa bado vchanga (havjakomaa/ni lain) ni rahc kushka matamsh yyte kwa urahc na ufasaha tofaut na mimi au wewe!!!
Neno Naibu spikaasil yake ni Naibu wa spika ambalo limefanyiwa mabadiliko ya kimaumbo ktk umbo la ndan na kuondolewa "wa" hvyo kubaki 'Naibu spika' ambalo ni neno moja.
Michakato hii ya kubadili maumbo au matamshi katka umbo la nje hulenga kurahisisha matamsh ktk lugha, kwa hali hyo "Naibu...
Lugha mama ndio chanzo! Lugha moja hadi nyingne hutofautiana sana hasa kupitia sayansi ya lugha (Isimu)..utofaut huo unaweza kuupata katika
1.Idadi ya sauti za irabu
2.Idad ya saut za konsonant..
Hvyo hata ktka matamsh utofaut utakuwepo tu... kwa hapa TZ..katika lugha za makabila yetu mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.