Recent content by kalumuna

  1. K

    Kuhusu kusoma degree zaidi ya moja.

    Kwa nje ilikuwa possible hasa programs za online.
  2. K

    Kuhusu kusoma degree zaidi ya moja.

    Asanteni, nimepata mwanga kidogo na pa kuanzia.
  3. K

    Kuhusu kusoma degree zaidi ya moja.

    Habari zenu wanajukwaa, Nawapongeza kwa ushauri chanya ambao mmekuwa mkitoa katika jukwaa hili.Nilitaka kujua kama kwa mfumo wa elimu yetu Tanzania unaruhusu mtu kusoma bachelor degree zaidi ya moja, kwa muda sawa (simultaneously). Mfano uko chuo fulani unaendelea na masomo na kujisali kusoma...
  4. K

    LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

    Tuache kudharau vyuo, even the other one is good, but kiukweli hata tembo akikonda hawezi lingana mbuzi.
  5. K

    Msaada kwa waliochaguliwa UDSM

    admission form zinatolewa pale Nkrumah hall, kuanzia leo hakuna complications kwa aliyechaguliwa pale
  6. K

    Tabia ya vyuo vya elimu ya juu kufundisha certficates na diplomas inapoteza dira ya elimu!

    mkuu mimi kwa uelewa wangu nadhani kama ulivyosema, kinyume chake ni sahihi kwa sababu muundo wa utaratibu wa kujifunza kwa ngazi ya diploma ni tofauti kidogo na degree hivyo diploma wanakuwa competent sana kiutendaji ukilingananisha na degree. Namaanisha wana muda wa kutosha kujifunza vitu...
  7. K

    Soil moisture sensor and water level sensor- Nanenane Mbeya

    katika maonesho ya nanenane huko lindi, vijana WA Veta kipawa wanaonesha hiyo technology ya sensor za unyevunyevu WA udongo katika umwagiliaji WA kisasa, unaweza kuwacheki
  8. K

    GIS (Geographical Information System)

    ! yeah, MUST COLLEGE ndio suluhisho kwa GIS hapa Tanzania na GIS ni zaidi ya mapping kama mchangiaji mmoja alivyosema.
  9. K

    Inahitajika Brand New Laptop

    nipe bei mkuu kwa i5 ama i3 yenye 4gb ram na 500gb or above ya hdd,napendelea dell ama hp
  10. K

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    tunawangojea mtaan mje na hzo degree kutoka vyuo vizur visivyo vya kata,
  11. K

    tpdc vipi?

    yote yawezekana kwa Mungu!
  12. K

    Kama ni mtumiaji wa nokia symbian series

    ni kweli lakini bado tunazitumia na zinakidhi matakwa yetu, mfano nina N73 toka 2008 hadi sekunde hii, ukiachana na wi-fi ina feature nying for internet normal user,music,picture,office nk
Back
Top Bottom