Recent content by kalulunga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pretty white

    Hayo mafuta yanachubua achana nayo kabla hikawa zeruzeru
  2. K

    JamiiForums Tanzania MUHIMU: Kwa wale msio na Ajira kabisa hii inaweza ikawasaidia, Soma .

    Habari niko Mwanza naomba uniunge kwenye group
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Sociology

    Kama ni Mwanza niko tayari
  4. K

    JamiiForums Tanzania KILA NIKIMALIZA KULA NAPATA KIKOHOZI.

    inawezekena unakila mafuta mengi yanakuganda kooni
  5. K

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Hello ndugu,naomba na mimi unitumie
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Sociology

    Hello wadau, Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie. Asante
  7. K

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Habari naomba kama una maswali ya uptitude test nipitie .Asante
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    Mkuu naomba unuangalizie monica kwenye hr
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

    Ukiashafikisha siku 30 waweza mimi nilijifungua kwa operation na sikuwa na tatizo ila tumia style ya kiubavu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

    Mambo?niconnect bro
  11. K

    JamiiForums Tanzania Usaili Utumishi, mnapimaje ubora wa mtu kwa maswali mawili?

    Anayejua majibu atupatie basi
  12. K

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu vyakula vinavyosaidia kusafisha figo.

    kula matango kwa wingi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba seriously

    I am a doctor just put your number so as we can communicate
  14. K

    JamiiForums Tanzania ChEzEa OUT ya mcHaGa wEwE.....???!!!!

    mchaga ni noumer
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike msomi

    Nk tayari kama vp weka mawasiliano
Back
Top Bottom