Recent content by Kaluluma

  1. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Ukibonyeza continue inakuleta hapa
  2. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
  3. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo cha afya kolandoto

    Sawasawa mkuu,ngoja nifuatilie
  4. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo cha afya kolandoto

    Habari za Leo wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo nasikia...
  5. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo Cha afya Kolandoto

    Ngoja nisubiri maelekezo hapa
  6. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo Cha afya Kolandoto

    Habari za jumapili wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo...
  7. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Sahivi naona inafunguka vizuri jaribu kupitia chrome naona mambo yanaenda vizuri sahv
  8. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Shukrani sana mkuu ngoja nifuatishe hatua hizi naamini nitafanikisha
  9. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Habari za leo wakuu, Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo. Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele...
  10. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba tenda kupitia system ya NEST naomba kusaidiwa jambo hili

    Karibu sana mkuu tulisongeshe gurudumu
  11. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba tenda kupitia system ya NEST naomba kusaidiwa jambo hili

    Ngoja tuwasubiri mkuu
  12. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba tenda kupitia system ya NEST naomba kusaidiwa jambo hili

    Akhsante sana mkuu kwa muongozo🙏 Nitalifanyia kazi hilo
  13. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba tenda kupitia system ya NEST naomba kusaidiwa jambo hili

    Habari za leo wanaJamiiForum Kijana wenu ni mhangahikaji hapa mjini, nimeomba tenda fulani kupitia kwenye mfumo wa manunuzi wa serikali(nest) na nimefanikiwa kupata tenda hiyo kwani nimepokea award letter. Changamoto niliyokutana nayo ni kwamba kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kuomba...
  14. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Tabora Mjini, ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina?

    Habari za muda huu wakuu, Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini, Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo, Nimepewa jukumu la kutafuta ukumbi kwa ajili ya shughuli fulani. Natanguliza shukrani wakuu🙏
  15. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

    Na kwenye huu mkeka nimekosekana tena?? Ngoja tusubiri mkeka ujao😁
Back
Top Bottom