Wee ungejua yanayoendelea kwny familia nyingi za watoto wengi usingetamani...
Cha msingi zaa watoto wachache watafutie misingi mizuri ya maisha unahakikisha hata ukifa kesho wana chao cha kushika...mbona ndugu hata marafiki tuu nao ni ndg...ukiwaacha hawana mbele wala nyuma ndo wamejazana hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.