kinachokushinda nn mkuu alafu hii tabia ya wanaume kuomba ushauri kuhusu demu anampenda mbona inashika kasi sana kwa vijana mnamatatizo gani hasa kwa hao mademu ni miungu hadi mnashindwa kuwaambia ukweli nenda direct mm nakupenda inatosha sasa unataka kuleta story nying hado nafikili mwanamke...
mm nawafuraisha ndo maana wanrudi kila siku wanamic penz lang siwez kumkomoa msichana bali nampa mambo mazuri afurahi maaana yy ndo kiburudisho changu hadi kufa why ateseke na mundende wakati ni kula vzr tu wajuba achen upimbi hao nao wanataka furaha ya penz sio mateso bhana
tumejua labda tangu vyuo vifunguliwe mtatulia bado mnaleta story za ngoswe hapa duuu sasa hapa sijui unataka ushauri au utoto unakusumbua mzee mbaba soma haya mambo hayaishagi hadi ufe broo acha wenge la kizaramo mkuu
kama una namba yake mpigie au mwalike mahali mchane kuwa unampenda mambo ya kuanza kujichekesha wenzio watambita mbele kama gari la porisi we zid kutafuta mbinu maisha yenyewe yanatia wazimu wa kutafuta mbinu kuyashinda halafu mambo ya upendo nayo unataka mbinu acheni kuwa wazembe kaa sembe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.