Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

Ndugu usikute we ukijiangalia kwenye kioo unajiona handsome handsome hivi sasa hiyo ni kwamujibu wa jicho lako!..
Yeye sasa usikute anakuona mamba fulani hivi amaizing..!
Haya mambo ndugu achana nayo mkuu mi mwenyewe najionaga gentleman lenye u handsome ndani yake lkn wapii kumbe dagaa fulani hivi..😂

Mwambie akuambie ukweli..
Naomba summarise huo uzi for me dia😲
 
Semister hii mtu unawaza ujinga hivi, unasoma chuo gani mkuu
 
Wazazi wanajinyima kusomesha , haya angalia upuuzi huu ulioandikwa hapa.
 
Usiogope ndiyo unajifunza mawindo, hata simba hakuanza siku moja kuwinda swala, ilimchukua muda kuwinda, ukifeli ndiyo unajifunza na kujua wapi ni kwa kurekebisha... Kaza uwanaume kazi
 
tumejua labda tangu vyuo vifunguliwe mtatulia bado mnaleta story za ngoswe hapa duuu sasa hapa sijui unataka ushauri au utoto unakusumbua mzee mbaba soma haya mambo hayaishagi hadi ufe broo acha wenge la kizaramo mkuu
 
Nakubal kaka
Usiogope ndiyo unajifunza mawindo, hata simba hakuanza siku moja kuwinda swala, ilimchukua muda kuwinda, ukifeli ndiyo unajifunza na kujua wapi ni kwa kurekebisha... Kaza uwanaume kazi
 
[emoji23]
tumejua labda tangu vyuo vifunguliwe mtatulia bado mnaleta story za ngoswe hapa duuu sasa hapa sijui unataka ushauri au utoto unakusumbua mzee mbaba soma haya mambo hayaishagi hadi ufe broo acha wenge la kizaramo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom