Recent content by Kaliua urambo

  1. Kaliua urambo

    Leicester City ina washabiki Tanzania?

    Kitambo tu
  2. Kaliua urambo

    Leicester City ina washabiki Tanzania?

    Mimi mmoja wapo
  3. Kaliua urambo

    Magufuli anashindwa nini ku fix haya TRA?

    Hata mwanzo ilikuwa bure Sema shida ununue kisha urudishiwe kwenye return zako Na ndio njia iliyofanya wengi wajifiche huko kwamba hawana pesa ya kununulia
  4. Kaliua urambo

    Magufuli anashindwa nini ku fix haya TRA?

    The boss Supplier wa EFD Wako wanane
  5. Kaliua urambo

    Zitto anapotosha umma kuhusu uhaini Zanzibar

    mkuu ili mtu awe mwanasheria inahitajika nini? nakumbuka alisema degree ya pili alifanya sheria na kuna wakati alikuwa kwa mkono advocate wakati amemaliza au akiendelea ana elimu yake Naomba kueleweshwa
  6. Kaliua urambo

    Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

    Watanzania tunaamini utabiri na kudharau tafiti,kazi kweli kweli!
  7. Kaliua urambo

    Mkurugenzi wa TGNP: Matajiri watano wa CHADEMA wana hofu ya nini, biashara zao siyo halali?

    Kwani serikali inayo mwezi mmoja tu mbele ni ya UKAWA sasa wanaogopa nini?
  8. Kaliua urambo

    CUF Morogoro mjini wanahujumu UKAWA

    Great thinker ni wewe usiyekuwa dynamic wala sio mnafiki,fisadi ni fisadi popote alipo
Back
Top Bottom