Leicester City ina washabiki Tanzania?

kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuwa most of mashabiki wa timu hii wanajiliwaza baada ya timu zao za awali kama man u,arsenal,liver na chelsea kuwa na mwenendo usioridhisha,
 
tangu zamani au kwa sababu inafanya vizuri?
ahaha,akijibu unishtue nike nigonge "like"
kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuwa most of mashabiki wa timu hii wanajiliwaza baada ya timu zao za awali kama man u,arsenal,liver na chelsea kuwa na mwenendo usioridhisha,
mkuu hasa hasa chelshit
Mimi niko kwa akina "Harry Kane" kwa sasa ... Nitarudi Man U msimu ujao.
mkuu kumbe ni msaliti?umeisaliti man utd na mashabiki wake kwa sababu ya hawa madogo?mkuu umeacha mbachao kwa msala upitao?mkuu umetusaliti mashetani wekundu wenzao ujue?sio fair hata kidogo,kipya hakinyemi,rudi nyumbani,mkuu!
ukifanya vizuri lazima upate mashabiki
kama jecha na ccm yake kule pemba,dah!
Baada ya Chelsea kufanya vibaya nimehamia Leicrster toka January
msaliti mkubwa wewe!sasa leicester wakishuka daraja 2016/2017 tusiwaone mkivaa nyuzi za the blues,gunners au red devils!
 
Inao (plastic ones..)...hasa wale wanaomba sana Leicester wapate na Arsenal akose kabisa
 
Back
Top Bottom