Recent content by kalinkyamba mwangwale

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    gonga wote Mkuu utanishukuru!
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Wazee na mwasisi NLD: Tunamshukuru mama Samia kutoa magari kwa wapinzani

    inavyonekana chama hakina tone tone hii ni shida aisee!
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

    vipi mzee Mzee mpili nae atakuwepo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    usihukumu ndugu maana nawe utahukumiwa!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Daktari feki aliyekamatwa Muhimbili aibukia tena Amana kutapeli watu. Huyu hapa akiwa amebananishwa

    huwezi kuwa daktari elimu yake ni darasa la saba! huyo kijana ni mjanja mjanja tu msomo wa quoran! labda awe Maganga wa kienyeji.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ipige Marufuku Watu kuingia na Simu au Kifaa chochote cha kurekodi ,kupiga picha au kuchukua Matukio katika kesi Ya Lissu

    kwa faida ya nani sasa Mwashambwa,maana ni kama unaifundisha kazi vile!
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Udiwani Ngarenaro: Dogo Janja aibuka kidedea dhidi ya diwani anayemaliza muda wake

    sasa kwenye wdc na Baraza ataongea nini au ndo wanatuchikia poa eenh!
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    Akalalamikie huko kwa wenzie sie hayatuhusu bana!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

    kaka haya mambo ni magumu sana angalia usije pinduliwa wewe!
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

    Unajaza fullscape nzima utumbo aisee,kama sio mwenzenu aliingiaje kwenye chama chenu? Mwashambwa punguza uchawa wewe na ndo maana hujaenda msibani kwa mjomba Mpoto!
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

    dawa ni kutokushiriki uchaguzi tu mpaka watakapo rekebisha hayo mabadiliko ya katiba na kuwashinikiza polisi wawakamate wale wote walioshiriki vitendo vya utekaji na mauaji ya raia wanaokosoa!
  12. K

    JamiiForums Tanzania TEMEKE: Mama Lishe walalamika kulipwa hela zenye "Maandishi ya Chadema" ya No Reforms No Election

    fikiria ni wewe umelipwa hiyo fedha je utaikataa! mie nafikiri elimu ingetolewa kwa wale wenye tabia ya kuchafua fedha waache lakini sio kukamata watu watakao kutwa na fedha yenye maandishi hayo! kwani wengine ukute wamepokea malipo kutoka kwa watu wengine.
Back
Top Bottom