Recent content by kalimanzilah

  1. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    bwana Salvatory magafu, mi naona wewe si kiongozi bora, hata hivyo hao waliokuchagua wakisoma hii post yako ndo mwisho wako wa uongozi, unawalisha wa Tanzania matango mbichi, kisa umepokea vijisenti, usiendeshe siasa za njaa na wivu, kisa john heche analipwa, kwa mtazamo wa haraka, je nirahisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania umeme (TANESCO)ni janga linalonyemelea kuangamiza taifa kiuchumi

    Tanesco ni kitega uchumi cha serikali na milango ya kuiba pesa za walipa kodi ndo maana hakuna nia madhubuti ya kuimarisha miundo mbinu na kuruhusu makampuni binafsi kuzalisha na kuwauzia wananchi umeme direct bila kupitia tanesco, ccm hoyeeeeeeeee! tukutane 2015
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chachu tu, haiwezi kuikomboa Tanzania

    mkuu mi nashukuru kwanza kwa kutambua chadema kuwa ni chachu, lakini usisahau kuwa chachu kidogo tu huchachusha donge nzima, mabadiliko ni lazima na yataanza na wewe endapo utachukua hatua, kujiandikisha, na kupiga kura yenye lengo la mabadiliko, nina hakika watanzania walio wengi hawanufaiki na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jamani embu nisaidieni hivi tanesco haifai kushtakiwa?

    Umeme imekuwa tatizo sugu, katika nchi yetu, unakatika bila taaria unarudi, unakatika imetuunguzia vifaa vya thamani kubwa sana, machine za huduma ya afya, yenye thamani ya karibia milion 250, sasa hii ni nchi ya namna gani, samples za utafiti, test 900 ambayo kila kimoja kinagarimu US $ 150...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

    mungu anajambo na Tanzania ni swala la watanzania kukubali kuitii sauti ya mungu, yakwamba amka wewe ulalaye toka usingizini, pinga na piga vita unyanyasaji na dhuluma dhidhi ya watanzania wenzako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

    saa ya ukombozi ikifika kila mtu anachakarika kwa nafasi yake kwa sababu Tanzania ni nchi yetu sisi zote, sasa inauma sana watu wachache kuifanya milki binafsi, na urithi wa vizazi vyao. inauma kila mwenye uchungu na nchi yake hata jali, kinamgarimu nini, kinacho takiwa ni ukombozi. siyo...
Back
Top Bottom