Jamani embu nisaidieni hivi tanesco haifai kushtakiwa?

kalimanzilah

Member
Nov 22, 2012
6
0
Umeme imekuwa tatizo sugu, katika nchi yetu, unakatika bila taaria unarudi, unakatika imetuunguzia vifaa vya thamani kubwa sana, machine za huduma ya afya, yenye thamani ya karibia milion 250, sasa hii ni nchi ya namna gani, samples za utafiti, test 900 ambayo kila kimoja kinagarimu US $ 150. sina hamu, bado watawala hawataki kuruhusu makampuni binafsi yauze umeme direct kwa wananchi, mpaka wauziwe tanesco wapate dowans na richmond, nyingine. kazi ipo.
kero yangu jamani na wasilisha
kwa wanao jua sheria tusaidieni
 

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,560
2,000
Mkuu hawataki kusema ukweli kuwa maji hakuna katika mabwawa ndo sababu kuu ya mgao wa umeme. Nenda kidatu utaamini kuwa kumekauka ila wanafungwa na kauli zao kuwa umeme ni historia
 

Azipa

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
1,071
1,225
Hii hii IPTL iliyojaa kanjanja wanampango wa kufunga nayo ndo ya miaka mingine 20, yamkini ishafanyika. Sina updates
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom