Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa mkuu lakini TANESCO bado ni mradi wa serikali wa kibiashara, serikali ilibidi ipressurize hizo inatiative za TANESCO si uliona baada ya kutafuta alternative ya umeme wizara under msukumo wa PM ikaleta hiyo miradi ya DOWANS, AGRECO, IPTL na SONGASS yote ni miradi ya zima moto si ya kudumu!!!!! Kama TANESCO ingelikuwa na power of decisions ingelikataa na kusema kuwa mradi wenye manufa ni huu wa Hydro power wa kuzalisha umeme wa bei nafuu. Hata huyu mkurugenzi mpya alishawahi kutoa data za umeme wa maji wa bei nafuu lakini mawaziri akiwemo Mhs Ngeleja n Raisi wote wanangangania umeme wa majenerator unaotuzamisha kiuchumi!!!!!!!!TANESCO kwenda kubwaka hizo feasibility study Wizarani na kusubiri serikali kufanya jambo, hili ni tatizo la utendaji ndani ya Tanesco. TANESCO wanapaswa kufanya feasibility study kwa miradi yao itakayoweza kuendeleza shirika at the same time kutatua matatizo ya umeme, baada ya kukamilika kwa hizo feasibility study na kuona miradi hiyo inalipa wanapaswa kutafuta vyanzo vya pesa na Serikali inabaki kuwa mdhamini ikiwa ni mkopo.