Recent content by kalikumutima

  1. K

    Msaada: Nimepoteza majina kwenye simu yangu

    Simu Simu ya mwanzo ni Motorola na hii ni Samsung, Nilipo sign kwenye simu mpya majina yalionekana kwa vile yalikuwa kwenye email shida imeanza pale dogo nae alipo sign na acc yake majina yangu kwenye simu yakatoweka na badala yake ya simu ya dogo yanaonekana kwenye simu zote mbili
  2. K

    Msaada: Nimepoteza majina kwenye simu yangu

    Habari wataalam. Nimebadili simu ya awali nikampa dogo. Cha kushangaza majina yote yangu kwenye simu hii yangu Hayao isipokuwa yale ya dogo yaliyopo kwenye simu yake niliyomwachi ndo na kwenye simu yangu yanaoneka. Msaada maana hata kwenye simu ya mwanzo siyaoni
  3. K

    Simu kuchemka

    Simu yangu inachemka Sana na wakati mwingine inakuwa ipo on ila kioo ni giza hata mtu akinipigia sioni,mpaka niizime na kiwasha tena.Wataalam tatizo ni nini na nini cha kufanya.simu ni motorola i power
  4. K

    Nauliza bei ya ream Jumla

    Nenda mtaa wa Lindi kama sijakosea, stand ya Mbagala zamani kuna maduka mengi yapo ya wahindi na wasomali
  5. K

    Mashine ya EFD

    Naomba msaada kwa anayeelewa matumizi ya mashine za EFD kwani TRA wanasisitiza Sana wafanyabiasha kuwa nazo.Mfano mimi mtaji wangu ni laki4 nimeambiwa ninunue mashine nimeulizia mashine yenyewe bei yake laki5 na 90 sasa hapo nachanganyikiwa na kutokuelewa intention ya hawa maafisa wa TRA kama...
  6. K

    INAUZWA Mbwa anauzwa

    Nitarudia picha ila kwa anaejua mbwa atakuwa ameelewa ila wewe unaefikiri Germany breed ni sawa na mbwa wa kuzurura huwezi elwwa
  7. K

    INAUZWA Mbwa anauzwa

    Mbwa jike GERMANY SHEPHERD ana umri wa miezi2 na wiki2. Yupo Pugu-Dar. cont:0625471226 bei laki4 ila mazungumzo yapo
  8. K

    Ukwaju! Ukwaju

    Unapatikana wapi tufanye kitu cha maana?
  9. K

    Ukwaju! Ukwaju

    Nikimpata anaetengeneza ili akaniambia kilo moja anatoa glass ngapi ingependeza zaidi. Maeneo ambapo nimeona ukwaju mwingi wanauza kwa mafungu hivyo ninampango nikikamilisha kazi iliyonileta huku nichukue mafungu kadhaa nikayapime ili nijue kilo moja ni mafungu mangapi na kwa huku itakuwa...
  10. K

    Ukwaju! Ukwaju

    Naleta kwenu wazo la biashara.Naomba mtu ambae anaweza akapata soko la uhakika la ukwaju wa asili tufanye kitu cha maana kuna sehemu nimepita nimekuta upo wa kutosha. Nikajiuliza akina Azam wanapiga hela kwa ukwaju wa kuweka flavour tu,je kikiwa kitu asilia?!karibu kwa kuboresha wazo langu
  11. K

    PICHA: Wapi kwa dar nitapata juice dispenser na aina hii ya refrigirator

    Umepata sehemu gani mkuu na bei zake range ikoje?
  12. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua taratibu za kupata mashine ya kuuzia umeme nipo DAR
  13. K

    Msaada: Anayefahamu jinsi ya ku configure smart TV ionyeshe local Chanel bila king'amuzi cha nje

    Asanteni wataalam wetu nimeset tv yangu imekubali ila channel zingine inaandi No CI module nafanyaje ili ambapo station inaonekana ipo ila picha haziji
  14. K

    Baada ya game za leo za CAF champions league msimamo wa kundi la letu ukoje ?

    simba wa 4 na wa mwisho kwa msimamo ulivyo baada ya game hizi tano Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Baada ya game za leo za CAF champions league msimamo wa kundi la letu ukoje ?

    soura anaongoza kundi D akifuatiwa na al ahal tatu AS vita na simba wa tano.yeyote kundi hili bado ana nafasi ya kifuzu robo fainali game za mwisho ndo determinant Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom