Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,487
Nimekuja kwenye jukwaa hili sbb linapitiwa na watu weng ili nipate msaada wa haraka,
Naomba kujuzwa ni wap kwa dar naweza pata juice dispenser mpya za mitung mitatu
na aina hiza za refrigilator/ wanaita OPEN DISPLYA REFLIGILATOR/SHOW CASE REFLIGILATOR MPYA KBSA KWA AJIR YA BIASHARA.
Naombeni msaada wenu wadau, pia napenda kuuliza kuhusu brenda nzur na imara/heavy duty na kubwa sio hz za nyumbn nataka ya biashara ni ipi, ikoje na kampun gan
Naomba kujuzwa ni wap kwa dar naweza pata juice dispenser mpya za mitung mitatu