Kauli alizotoa spika wa Bunge dhidi ya Mikopo ya maendeleo serikali awamu ya sita zinazotafsiriwa kama ni za kutaka kukwamisha jitihada za maendeleo ya wananchi anazofanya Rais ambaye ni na mwenyekiti wa chama chake ka kaulinza Rais leo juu ya alichofanya Ndugai anapaswa kujiuzuzu kwani...
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Sio kwa Tanzania ya sasa ambayo watu wengi wana uelewa na uwezo wa kufuatilia na kupambanua mambo. Mimi naamini Makamba kateuliwa kama njia ya kuifanya Tanzania itoboe kimaendeleo.
Ni sawa kabisa. nawapongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa hatua hiyo.
Yaani mnataka mfanye uhalifu halafu mkimbilie Kanisani na Polisi wawatizame tu? Msituchafulie kanisa, Msituchonganishe na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kama ni muhalifu utakamatwa popote utakapokuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.