Kama wameridhiana na kama hakuna sheria, kanuni wala taratibu iliyokiukwa hakuna shida yoyote kuliko binti kukaa bila kuolewa na kuingia katika uzinifu.
Hii taarifa sidhani kama ina ukweli wowote, yani atapeliwe kizembe hivyo bila kuhakiki kama pesa imeingia kwenye akaunti, katika huu ulimwengu ambao benki tunatembea nazo viganjani.
Hii kitu ilishawahai kutokea kwa jamaa zangu wa karibu, walijidai kichwa ngumu wakati mzee wao akiwa mgonjwa matokea yake wakapishana na Wosia halafu wao ndio watoto wakubwa.
Comrade nadhani unazijuwa familia zetu za Kiswahili zikishajuwa kuwa kuna jambo litakunufaisha mbeleni lazima wawe na roho za korosho. Ukiona mpaka binti ameamuwa kutafuta msaada kwa umma basi ujuwe hali ni tete sana.
Comrade makosa ya baba hayawezi kuhamia kwa mtoto, kama kuna namna ya kumpatia msaada apatiwe tu msaada kwa maana hili linaweza kutokea hata kwa wanao au jamaa zako wa karibu.
Kwa ushauri tu Mzize anapaswa kuibadilisha menejiment inayomsimamia kwani imefeli kwa kiasi kikubwa sana, kwani imeshindwa kutambuwa kwamba Clement Mzize ni bidhaa ndani ya Young Africans, na siku zote mwenye bidhaa ndio muamuzi wa mwisho wa kuangalia wapi auze bidhaa yake na nani wa kumuuzia...
Kwa hiyo hati ikiwa na lamination inakuwa ni feki? Jamaa hebu tupe elimu juu ya hili, mimi nichojuwa hati ni namba na sio lile karatasi, cheti ni namba na sio lile karatasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.