Recent content by KALEM B

  1. K

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Ama kweli zitto amechanganyikiwa,sasa anamtuhumu mbowe kwa kupewa mahela alafu anamtetea kua alizitumia kwenye kampeni,ama kweli maccm alili zao zinafanana alafu kaisha halibu kwa mzee mkono na Rostam azizi waliokua wanasaidia kuiondoa ccm na akika anatafuta kulimbokwa maana mpaka sasa ata ccm...
  2. K

    Jesca Kishoa awasirisha kwa Tundu Lisu taarifa ya unyang'anyi wa viwanja Singida

    Mwanadada machachali wa chama cha democrasia na maendeleo bi Jesca kishoa maarufu kama (Iron Lad) jana tarehe 12.12.2013 amekamilisha na kukabizi taarifa ya uchunguzi wa unyang'anyi wa viwanja unaofanywa na mkurugenzi wa manispaa ya singida...
  3. K

    Kwa swala la Zitto CCM walikwenda atua mbili mbele,kwa kashfa ya kapuya wamerudi atua kumi nyuma

    Kama unavyofahamu,harakati za kisiasa ndani ya chama cha mapinduzi ccm kwa sasa ni kama formation za timu katika mchezo wa mpira wa miguu,mfumo wao wa sasa ni kuzuia mazuri yasifanyike ndani ya chadema na ata kujengafitina ya kuivuruga chadema badara ya kutekeleza wajibu wao wa kutekeleza irani...
  4. K

    baadhi ya wasaliti waliowaikushindwa na dhamira ya kweli yawasaritiwa

    niwazi kuna baadhi ya wanachama wenzangu wa CHADEMA hususani wenye roho ndogo wameshaanza kukosa amani baada ya chembe za usaliti zinazoanza kuonekana ndani ya chama,nataka niwatie moyo kwa kuwaonyesha wasaliti wakipindi hicho ambao hawakufanikiwa na kuwafanya wasalitiwa waendelee na harakati...
  5. K

    Kwa sababu zifuatazo naunga mkono kutokufanyika uchaguzi CHADEMA kwa sasa

    Nimetafakari kwakina na kufanya uchunguzi nikagundua lengo la ccm nikuendeleza mbinu za kuisambaratisha chadema,kama mtakumbuka swala la udini,ukanda,uchaga,kadi dr slaa,kufunguliwa kesi ovyo,ugaidi,tindikali,kuvuluga halmashauri zinazo ongozwa na chadema,kunuua viongozi,kutekwa pamoja na uonevu...
  6. K

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    mkuu nivyema ukaainisha malengo yako maana nashindwa kujua wewe ni mjumbe wa kikao kipi hadi unalalamikia kutokuitishwa kwa kikao au pengine unalalamikia kutokupewa taarifa,kimsingi utaratibu huko wazi wanani mwenye anaepaswa kupewa taarifa ili msemaji wa chama aueleze umma,kuhusu swala la uwepo...
  7. K

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    bwana KIMBOKA ukweli wewe unawavunjaga moyo sana viongozi wa Singida,tambua katibu wa mkoa ndg patrick msuta alifukuzwa kazi ya serikali kutokana na harakati za CDM,mwenyekiti mzee Willfred kitundu alitoa nyumba yake kutumika kama ofisi,na kama iramba kamanda jesca,mutta na jumbe waliweka hadi...
  8. K

    Mhe, Wasira awapa somo wanao hatarisha amani ya nchi hii kwa kisingizio cha Katiba.

    kama anaona wanatumia siasa kualibu amani na yeye aache kutumia bunge kama sehemu ya kupiga usingizi na ikifika sehemu ya ndioooo ndio anaamka na anachotakiwa nikuleta utaifa bungeni ili makamanda wasiende kwenye mahakama ya umma
  9. K

    Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    mimi binafsi sioni cha ajabu na hii inatokana na umakini wa chadema maana maccm yalibakiza mbinu hiyo tu kusambalatisha chama,ata hivyo unadhani nani mwingine anaweza kua na moyo kama makamanda wetu wa sasa istoshe ni lini umefanyika uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa ccm taifa au mnaonaga...
  10. K

    Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

    ila kila mipango haramu itashindwa na nguvu ya Alhah,walisema chadema wakristo,cuf waislamu,nccr sijui ndio wapagani sasa ni CDM(wakristo)+CUF(waislamu)+NCCR(wapagani)JIBU LAKE NI KATIBA ILIYO BORA HAKUNA MAUCCM MAITV WALA MATBC
  11. K

    Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

    haya matangazaji mengine yanamualibia mzee mengi kipenzi cha wengi,tutaamasisha jamii kuchukia litv lenu maana bugohela kawa mwenyekiti wa ccm tawi la ITV,
  12. K

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    magamba,miccm,mafisadi,ukoo wa panya na nitatoa zawadi kwa atakae toa jina baya zaidi.siipendi sitaipenda na sipangishi maccm kwenye nyumba yangu sisomi wala sifungii mandazi gazeti la uhur sitavaa wala kushika nguo ya kijani,ukweli naichukia sana ccm
  13. K

    Lazaro Nyarandu ni naibu waziri na mbunge makini

    hana lolote kiboko yake David jumbe
  14. K

    "Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

    sijui ata kama utapita ata udiwani wa kata ya ndago,nakushauri uandae mapema mashamba ya alizeti maana uenda usiaminiwe ata na wakulima wenzako
  15. K

    Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

    mara ya kwanza kukuona nipale ulipoaibishwa nadogo mmoja wa chadema singida mkiwa na majura,dogoaliwagalagaza na maswali ndio nikaamini kuwa upeo wako mdogo sana
Back
Top Bottom