Recent content by kalandaguro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    shamba la bibi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu habari za Afisa wa Polisi aliyedaiwa kutelekeza familia

    umesema walikuwa hawajagunga ndoa mahakama inauwezo wa kuvunja ndoa ambayo haijafungwa? under presumption of marriage spouse anauwezo wa kuomba talaka?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kizimbani: Kapteni wa JWTZ apandishwa kizimbani kwa kosa la kutaka kuua

    Kesi haziendeshi kwa hisia,kuna sheria na taratibu Ushahidi kwa kosa analotuhumiwa nalo ndo utadhibitisha kosa ilo sio kuongea tu kuwa alitaka kuua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Law course

    kinachosoma ni EEE? hujawahi kuona mtu division one anaenda chuo ana disco au kutoka na pass wakati wa division three akitoka na upper second or first class, Tatizo ni kukariri bila kujiongeza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je huyu jamaa atashitakiwa kwa kesi gani?

    Hiyo ni manslaughter case,kwanza elewa unapojenga kesi ya mauaji lazima kuwe na Actus reus and men's rea, huwezi ukashtaki MTU kwa kesi ya mauaji kama hamna MTU aliyekufa, na katika kudhibitisha uwa inaangaliwa zaidi Nia hovu ya kutenda kosa. Kwa senerio hiyo nia yake ilikuwa ni huyo mama si...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasheria wanavaa suti ?

    ile ni Court attire,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mabenki inafaa wafikishwe mahakamani kwa uhaini!

    Uhaini? are you serious?
Back
Top Bottom