Recent content by kalanda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    kura kwa lowasa.wafanyakazi tumenyanyaswa vya kutosha...ccm ipumzike sio dhambi..Mbona nchi za wenzetu wamefanya,na matunda yanaonekana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Wanachuo Kipindi Cha Uchaguzi mkuu

    unapouliza swali,ni bora ukakielewa unachokiulizaaaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Nipo iringa...msigwa (Cdm) hana mpinzaniiii.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

    Ccm ikae pemben,imetuumiza kila idara...wale wez wa escrow ...eti wamepitishwa na chama cha kijani kugombea ubunge....hawakutakiwa kupitishwa kugombea ubunge tena...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Ana piga pushap kwan ikulu, kuna mashindano ya ndondi.....watanzania hatuna shida na pushap.....matatizo yetu yapo bayana viongezi wetu wanashindwa kuyatatua.....cha msingi aeleze sera na si senema.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magereza za Tanzania zina nafuu kubwa

    Unafuu gan...wa kula mlo mmoja kwa siku?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe kutoa mikoani kuleta Dsm

    kununua pugu na kuuza palepale.unatakiwa uwe mzoefu sana.lasivo itakula kwako.Ni bora ufuate mkoa .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Umechanganya mada mbili tofauti.kati ya dispensary na kituo cha Afya.kituo cha afya ni centre kubwa ya matibabu ukilinganisha na disp,hata gharama na maitaji vitendea kazi na watoa huduma ni tofauti.so we unataka kuanzisha nn
  9. K

    JamiiForums Tanzania Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Gunia moja la mpunga ukikoboa unapata kilo 90.dah iyo ni super proft....wakulima wa mpunga wangekuwa matajir aiseeee.sio ukweli gunia la mpunga upate kilo90.mi ndo kaz yangu hiyo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

    mfumo wote wa uongoz,kuanzia baroz had magogon.wameshindwa kupata jibu la kwa nn inchi yetu ni maskini.Na mbinu za kutokomeza umaskin hawana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Mfumo wa uongoz umeoza kuanzia barozi nyumba kumi had juu.kupitia system hii, tutaendelea kudanganywa uchumi wa nchi unakua.ili hali wananchi ni maskini wa kutupwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Nguvu ya umma ikiamua,fitina hazina nafasi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimpishe nani kwenye kiti kati ya hawa (Maadili)?

    Mama mjamzito ndo apewe kipaumbele.sema nao wanakera sana.wanaona bus imejaa.Naye anapanda akijua siti atapata tu.
Back
Top Bottom