Imepangilika vizuri sana.
Na kumbuka, hayo yanahusu maswala ya uchaguzi pekee. Kuna wanaCHADEMA wengi sana walioumizwa na kuuawa, kama akina Mzee Kibao, akina Mdude. Watu kwenda mahakamani kusikiliza kesi tu, wanakutana na vipigo na kwenda kutupwa porini!
Halafu bado kuna watu hawaelewi kabisa...
Sasa mtu unasoma maonevu yooote haya aliyoelezea Heche, halafu usiguswe kabisa moyoni mwako!
Eti kwa vile tu unafaidika kutokana na uovu wanaofanyiwa waTanzania wenzako!
Na kafanya kazi nzuri kabisa juu ya hilo.
Kazi ya Lissu haijawahi kujificha hata siku moja.
Na kumbuka, kazungumzia ya huko Tarime pekee na hajagusia mengine ya kutetea waTanzania sehemu zingine.
Wengi wanaompinga Lissu ni kwa sababu ya mtindo wake wa 'in your face'; hana ujinga ujinga wa...
Unazungumzia mahakama ipi wewe, ile ya Roast Aziz?
Watu mnajiondoa akili vichwani kwa ushabiki tu usiokuwa na msingi.
Pamoja na kujuwa ujuha wako, lakini ngoja nikuulize swali, hata kama huna uwezo wa kulijibu:
Hivi zile 4R za Samia zilizokuwa na R moja ikitamka "REFORM"; hiyo reform ilihusu...
Hii sheria mbovu itafutwa na haitatambuliwa kuwalinda hawa wanaofanya maovu waziwazi kwa waTanzania.
There must be a way around it.
Hakuna sheria inayolinda wahalifu wanaojuwa wazi wazi kuwa wanafanya uhalifu dhidi ya wanaowaongoza.
Hivyo ni unavyoona wewe. Kuna wengine kuna kiasi cha kunyanyaswa wasichoweza kukivumilia.
Unayoeleza hapa wewe ndiyo yaliyotufikisha hapa leo kunyanyaswa na mtu duni kabisa kama Samia.
Nimetatizwa na huu msemo, kwa hiyo inanibidi niulize swali
Kati ya Samia (mtu mhalifu) na Tanzania ni kipi chenye maslahi kwa maoni yako mkuu 'Al Watan'?
Watu wa taifa hili kunyanyaswa kiasi hiki, hakuna aliyetegemea kwamba ingewezekana.
Sasa tunayashuhudia wenyewe, na wote ni kama tumepuliziwa dawa ya kutuzima akili vichwani!
Inasikitisha sana.
Hilo wewe umelijulia wapi kama halikuhusu wakati unapomaliza msokoto wa bangi!
Akili yako imeharibika kabisa, na watu wa aina yako Samia anawapenda sana kuwatumia kufanya uchafu wake.
Yatakapompata ya kumpata, nyote nguruwe wake hamtamsaidia kwa chochote.
Hiyo "heat period" ndio kitu gani hicho!
Ninapokwambia wewe ni chizi mvuta bangi usifikiri nakuonea tu bila ya sababu..
Dalili zote zinaonyesha wewe ni mwathirika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.