Njia pekee ya kupunguza na kuondoa hilo, ni kutumia mfumo wa uwakilishi wenye uwiano(proportional representation) kwenye kuchagua wabunge, madiwani etc. Hii inasaidia sana hata makundi madogo madogo, kwenye jamii au eneo fulani kupata uwakilishi kwenye vyombo hivyo. Pia inasaidia vyama vidogo...
Kwa polisi wetu walivyo mbumbumbu watafanya hivyo kweli. Wanasahau hiyo kazi anaweza akafanya mtu mwingine yoyote yule, kuanzia mawakili hadi wahudhuriaji, mtu mwingine anaweza kuingia na simu na kutuma updates. Mwishoni wanakuwa hawajasolve chochote zaidi ya kujihangaisha tu.
Na yeye natumai kuna kitu amejifunza. Wapinzani wako sio wa kuwaachia nafasi kizembe, sasahivi wanamhangaisha. Chama kizima inabidi kiweke effort kupambania.
Angesema in public kuwa walinzi wake wamekamatwa na makosa ya ajabu ajabu. Lakini swala la kukaa kimya ni ubinafsi wa hali ya juu, inaleta picha mbaya. Mbona huko nyuma wafuasi wachadema, wanachama, au watu wake wakaribu wakikamatwa na kupewa kesi zisizo na kichwa wala miguu, huwa anapazaga...
CHADEMA inahitaji mabadiliko ya uongozi, Mbowe apumzike. Mpaka hapo alipoifikisha inatosha. Lasivyo chama kinazidi kuonekana mali ya mtu binafsi. Wapo watu wengi wenye uwezo ndani ya chama, ambao wanaweza kuchukua nafasi ya uenyekiti na kukipeleka chama to greater heights.
Shida CHADEMA...
Pamoja na kuwa hii kesi imekaa kisiasa, ila kitendo cha yeye kutokupaza sauti mapema walinzi wake walivyokamatwa na kupewa hii kesi, ilikuwa ni jambo baya. Tokea mwaka jana watu wamekamatwa, yeye hakusema chochote. Hapo ndo utajua wanasiasa ni self serving.
Yeye akamute na kuwatelekeza, sio...
Halafu baadae pongezi zote zitaenda kwa Samia, kumbe ni masharti ya mkopo.
Ila umasikini wa fikra ni mbaya sana, nchi inarasilimali za kutosha ila tuna serikali omba omba. Kwa rasilimali tulizonazo kama tungepata viongozi wazuri na waadilifu, tungekuwa mbali sana.
Serikali isiyo na maono...
People have a right to their own body, hii ni moja ya kanuni kuu za haki za binadamu. Ndo maana hata wagonjwa wanakuwa na haki ya kukataa tiba.
Huwezi kulazimisha watu kuchanja, watumie akili kushawishi watu, na sio kwenda kinguvu nguvu.
Kama serikali haiwezi ikawalinda watumishi wa afya na...
Ugatuzi wa madaraka. Magufuli alikuwa anafanya kazi iliyokuwa ifanywe na local government institutions, ila tu yeye alipendelea eneo/wilaya moja. Kungekuwa na serikali za mitaa/mikoa ambazo ziko huru kujiamulia mambo yake na kutekeleza mipango yake mwenyewe, Magufuli asingekuwa na haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.