Recent content by kalambo two

  1. kalambo two

    Msaada wa haraka: nawashwa mwili mzima nikijikuna navimba

    Toa dawa za minyoo kwa familia yako pia
  2. kalambo two

    Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    steve Selou inadondokea ktk kundi gani? Na pia ndoroboni ya kule KONDOA nayo vipi?
  3. kalambo two

    St. Francis Ifakara nayo ni jipu

    Hata muhimbili isipokuwa na pesa unakufa hivi hivi
  4. kalambo two

    Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

    Pale wizara ya Afya nawafahamu mkenya mmoja, nilisoma nae alifanyiwa mchongo na mkenya mwenzake pale Wizarani. Rushwa ya Tigo nayo imezidi
  5. kalambo two

    Mdororo wa uchumi waikumba Tanzania, TPA yapunguza vibarua 700, hakuna meli wiki 4

    [Q UOTE="jingalao, post: 15682197, member: 56995"]Kama kuna mfanyabiashara alinipa fedha yake kwa ajili ya kampeni anyooshe kidole....!!! KWA SAUTI YA JPJM Homeshoping center na tony Dili wakanyoosha
  6. kalambo two

    TRA taarifa kwa Umma: Tishio la wafanyabiashara kufunga maduka

    Wafanyakazi wananyonywa zaidi ya wafanyabiashara
  7. kalambo two

    TRA taarifa kwa Umma: Tishio la wafanyabiashara kufunga maduka

    TRA shenza saana, Wanaiba sana kwenye PAYE Kama hawana akili nzuri. Yaani wanikata asilimia 25 wakati JPM alishasema wakate 11% tu.
  8. kalambo two

    Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Kwahiyo medical specialist ni elimu ya kuunga unga? Au una lako Jambo?
  9. kalambo two

    VIDEO: Waziri Muhongo atajwa kuvujisha ziara ya Waziri Mkuu kwa meseji

    Defensive weapon ya CCM wote ni ubaguzi, sijui ni kwann!!!
  10. kalambo two

    VIDEO: Waziri Muhongo atajwa kuvujisha ziara ya Waziri Mkuu kwa meseji

    Wewe ni jipu au tambazi? Yote kwa yote Tiba ni moja ni lazima nikutafute halafu nikumbue
  11. kalambo two

    Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

    Kwani kichwa chako kiko ndani ya friji? Au ubongo umeganda tu???
  12. kalambo two

    Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

    Mwislam safi ni Yule asiyekula kitimoto ..........., (pozi.........)Mbele za watu!!!!
  13. kalambo two

    Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

    Ufugaji wa mjini ni zero grazing. Kama hawafanyi hiyo zero grazing then washauriwe na siyo kuwazuia
  14. kalambo two

    CCM sasa waanza kuumbuana

    Unajua maana ya chama kushika hatam? Chama kiko juu ya serikali !!!!
Back
Top Bottom