PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Hivi Siasa za Tanzania, Bila Kuchafuana Watu Hawasikii Rahaa? Ifikie Maala Hofu ya Mungu Ikamwongoza Kila Mtu na Kuacha Uongo wa shetani.
Taifa Hili Limekosa Viongozi Wazuri Kutokana Uongo wa shetani. Kila Mwanasiasa Anae Onekani ni Mzuri na Mwenye Wito wa Kweli wa Kuwatumikia Watanzania, Anaanza Kupigwa Mawe na Shetani Hutumia Midomo ya Watu Kueneza Umbea, uzushi, na Uzandiki, juu Yake ili Kumchafua.
Ndiyo Maana Wakati Mwingine Naungana Kabisa Donald Trup Juu ya Watu wa Asili ya Africa. Ipo Shida Kubwa Katika Bara Hili Ndiyo Maana Hatuendelei, kwa Ajili ya Majungu.