Pale kuwaondoa ni rahisi sana , kwanza Askari wanaowalinda ni wa TZ,
Sasa ondoa Askari then masai vamia na mifugo yako!!!!
Peleka panya road wa kimasai kama elfu tano kuvamia, wataachia tu
Umetumwa Au umerogwa na Kama siyo basi upeo wako wa elimu juu ya heart surgery ni mdogo Au hujui mbaya zaidi huna uwezo wa kufanya cardiovascular surgical analysis ndo maana unaongea pumba zaidi ktk muktadha wa jambo usilolielewa.
Umeendika habari Kama za chereko chereko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.