ALOYCE MPANDANA
Senior Member
- Oct 1, 2010
- 172
- 58
mbona kina prof. maghembe na dr. kawambwa na eilimu yote hamna wanachofanya jimboni na hata selikalini
kama huyu mbunge anatimiza majukumu yake vizuri hamna tatizo lakini pia ni uongo kuamini kuwa elimu nzuri haina msaada katika ufanisi wa shughuli za kibunge
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Said
Middle Name:
Juma
Last Name:
Nkumba
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Sikonge
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 9, Sikonge - Tabora
Office Phone:
+255 787 770707
Ext.:
Office Fax:
-
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Moshi Technical Secondary School
O-Level Education
1982
1985
SECONDARY
Isike Primary School
Primary Education
1973
1981
PRIMARY
Bunda Teachers' Training College
Certificate in Teaching
1986
1988
CERTIFICATE
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Secretary General Regional Admin. & Local Govt.
Division Secretary
2000
2000
The Parliament of Tanzania
Member - Sikonge Constituency
2000
2015
Ministry of Education
Teacher Grd. III A
1988
2000
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
CCM-Chama Cha Mapinduzi
Member of Parliament
2000
Todate
CCM-Chama Cha Mapinduzi
Member of National Executive Committee
1997
Todate
CCM-Chama Cha Mapinduzi
Member of National Executive Council
1992
1997
PUBLICATIONS
Description
Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
No items on list
Hivi Sikonge Mbunge wenu ndio mmeona CV yake inatosha hapa?
Sina nia mbaya ila nilijua ana Masters degree.....
elimu..hakuna mjadala, ni ufunguo wa maisha..! lkn limekuwa kosa na ujinga mkubwa sana ktk zama hizi kuamini kuwa uongozi mzuri na bora ni elimu (tena ya kupata vyetu kutoka vyuo vikuu)...alipoondolewa madarakani fashist idi amin mwaka 1979 (nikiwa darasa la pili, mgulani sm)aliingizwa profesa yussuf lule ( marehemu?)...nchi ilimshinda!....elimu ni sehemu mojaa wapo ya vinavyohitajika kumfanya kiongozi mzuri...ujuzi,uzoefu,busara, na uchamungu ndiyo msingi wa kiongozi mzuri....
Hiyo ilikuwa kubebana tu kama ilivyo kawa ccm, baba yake alikuwa m/kiti ccm wilaya, mzee Nkumba.Hiyo ndiyo demokrasia, mwaka 2000 alimpiga chini Jaji Mfalila katika kura za maoni. Ni mzuri sana kwa kuimba kwaya, namkumbuka JKT Msange alikuwa anatuburudisha kila usiku kombania B. Pia alikuwa hodari kukaanga bisi
GENERAL Salutation Honourable Member picture
First Name: Said Middle Name: Juma Last Name: Nkumba Member Type: Constituency Member Constituent: Sikonge Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 9, Sikonge - Tabora Office Phone: +255 787 770707 Ext.: Office Fax: - Office E-mail: Member Status: Date of Birth
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Moshi Technical Secondary School O-Level Education 1982 1985 SECONDARY Isike Primary School Primary Education 1973 1981 PRIMARY Bunda Teachers' Training College Certificate in Teaching 1986 1988 CERTIFICATE
CERTIFICATIONS Certification Name or Type Certification No. Issued Expires No items on list
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Secretary General Regional Admin. & Local Govt. Division Secretary 2000 2000 The Parliament of Tanzania Member - Sikonge Constituency 2000 2015 Ministry of Education Teacher Grd. III A 1988 2000
POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of Parliament 2000 Todate CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Committee 1997 Todate CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Council 1992 1997
PUBLICATIONS Description Published Date No items on list
SPECIAL SKILLS Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level No items on list
RECOGNITIONS Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by No items on list
Hivi Sikonge Mbunge wenu ndio mmeona CV yake inatosha hapa?
Sina nia mbaya ila nilijua ana Masters degree.....
Inaelekea kuna makosa mengi kwenye hizi CV za waheshimiwa wetu. Inawezekanaje huyu mbunge kusoma shule ya msingi kwa miaka TISA?
elimu ina uhusiano mkubwa na kujenga misingi ya maendeleo. kwa mfano, kwa nini sheria zetu zimekuwa mbovu kiasi kwamba hazitusaidii kuupinga umaskini wa pato la taifa na binafsi? rasilimali tunazo lakini bado HOHE HAHE, wapi tumeanguka?
moja ya sababu ninazo amini kuwa zimetufikisha mahali tulipo, ni kuwa na viongozi ambao elimu hawana, hivyo linapokuja swala la kuchanganua faida na hasira za mambo fulani, wao ni kufuata mkumbo. Ndio wabunge wengi wa CCM, kwani hawana uwezo wa kusoma sheria, na hivyo siku zote wako upande wa serikali ambao kimsingi wamekosea kabisa, lakini wabunge hao wanapitisha sheria hizo ambazo zikianza kutenda kazi ni kilio kitupu
Mnyika, Lissu, majimbo yao yanaweza yasiwe na maendeleo kwa maana ya ujenzi wa barabara, hospital na shule kutokana na fitina za serikali kuu ambao ndio wanaogawa pesa, lakini mchango wao katika kujenga mazingira ya kisheria na kiutendaji ni mkubwa mno.
ukiwa CCM na huna elimu, wanaweza kukuhakikishia bajeti ya kutosha na hivyo kutengeneza barabara za kutosha, lakini kwa habari ya mchango wa kitaifa huna msaada wowote.
na ikumbukwe maendeleo si majengo na barabara, bali ni watu kuishi vizuri kabisa kupitia sera na sheria zake makini.
Chadema ni dumping place ya bidhaa zilizotoka CCM.
Mwaka huu ccm wasomi kibao wamejaa kuja kuomba ubunge MZEE kaona atimke hahahahahaha..
Kazi ipo kwa chadema