Hivi inawezekanaje taarifa ya wataalam wa madini iitwe takataka na MTU aliesoma sheria? Pia anasema kwamba utajiri huo uliotajwa haupo katika mchanga huo ikiwa yeye sio mtaalam wa madini ila tu kapitia tafiti nyingi zilizofanywa huko nyuma Je,anauhakika gani kuwa hizo taarifa hazikuupotosha...
Ifahamike Mo no tajiri wa kwanza Tanzania sasa mambo ya kulalama kisa Simba ni sawa na kutaka kumuoa msichana wakati wazee wake hawakuhitaji ila tu inafarijika kwa kuona ndugu zake na mashoga zake wanakusapoti .Ombi langu kwake aanzishe timu yake.
Utukufu (kwa Kiebrania הוד, hod, na כבד,kabod, "uzito"; kwa Kigiriki δόξα, doxa, "tathmini"; kwa Kiingereza glory kutokaKilatini gloria, "umaarufu") ni hasa sifa ya Mungu anapojitokeza kwa viumbe.
Aliye wahi kuwa Mbunge wa Jimbo la uchaguzi Kyerwa mkoani Kagera kupitia chama cha Tanzania Labor Party na mgombea wa ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA Ndugu Benedict Mutungirehi amehama chama rasmi na kujiunga na chama cha mapinduzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.