Recent content by kakota

  1. K

    Katika hili Mwenyezi Mungu atanisamehe, lakini haiwezekani

    Hili nalo neno japo umechukua hatua mapema mtoto anaweza asifanane na wewe akafanana na mjomba yako...japo hili lina hitaji moyo.
  2. K

    WhatsApp yangu

    Asante mkuu kwa mchango wako ngoja ni jaribu.
  3. K

    Magufuli ni kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji

    Wewe faiza foxy wahenga walisema kumuwashia taa kipofu ni kumaliza mafuta .nani asie jua kazi yako mkuu jitahidi kuongeza juhudi uwe juu kama kofia daily usiwe down kama pedi natumia lugha kali tafsiri unavyoweza maana nimejaribu kukueleza toka mwanzo kuwa mimi sijaja hapa kuleta malumbano...
  4. K

    Magufuli ni kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji

    Kuna tofauti sana ya kuichambua siasa kwa upeo wakila mtu kwa akili yake na kufanya ushabiki waki siasa ukosahihi kwa mchango wako lakini naona unaleta kadi za harusini msibani huja kosea ila siwakati wake na siwezi kujibu hoja yako kwa kuwa iko nje ya mada. nadhani nimeleweka.
  5. K

    Magufuli ni kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji

    Shabiki wa simba na yanga hawawezi kuchambua soka vizuri hata wakichambu wata chambua kwa macho kengeza kwa sababu ya ushabiki magufuli kama yeye hawezi kupambana na mafisadi wote wa ccm na kupa mfano mmoja kuna mwalimu mkuu moja shule yake ilikuwa inafanya vizuri kila mwaka waka amua kumhamisha...
  6. K

    Magufuli ni kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji

    Namfananisha kiongozi huyu kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji nikiwa na maana kwamba Magufuli kama Magufuli ana uwezo ambao hauwezi kufanikisha kutupeleka watanzania mahali tunapotaka isipokuwa angekuwa na watu ambao uwezo wao si wa kutetereka wala watanzania hatuna mashaka nao...
  7. K

    WhatsApp yangu

    Poa mkuu ngoja nijaribu
  8. K

    WhatsApp yangu

    Asante mkuu lakn nimejaribu ina search tu .wala haioneshi kuwa ime download imefika kiasi gani mpaka chaji inaisha.
  9. K

    WhatsApp yangu

    Jina ni TRADENO na model yake number L70
  10. K

    WhatsApp yangu

    Habari wanajamvi na tumaini mko poa jamani naomba msaada kurudisha whatsapp yangu maana nikifungua ina niandikia hivi This version of whatsApp became obsolete on may 27,2015 tap "Dowload" to get the latest version Your device's date (ina andika tarehe ya kila siku) if this is incorrect...
  11. K

    Timu ya UKAWA usipime!

    Tusubiri part ll
  12. K

    Membe ajikaanga kwa mafuta yake

    songs of Lawino and O'coll: Kila MTU ana RAIS wake mfukoni na hana uhakika kama anaweza kukimbia mbio hizi za urais na akawa mshindi, hivo kila MTU ana mshawishi mwenzi atupe RAIS wake aendelee kushabikia RAIS wa mwenzake. na wengi wemetupa marais wao ambao walikuwa wanawaamini sasa...
  13. K

    Mnapiga Kelele eti dola imepanda, Mna akili timamu kweli?

    Kawaida ya mtoto akishiba hataki umtume .sasa hawa sisimu wame vimbiwa kabisa
  14. K

    Mdada aliyetia fora katika Zari All White Party

    Wapi huko. akiinama nini kitatokea dunia inamambo
Back
Top Bottom