Jamani UKAWA, tunawapenda lakini hata MAGUFULI pia tunaupenda utendaji wake sana, of course atakuwa anayo makosa kama binadamu.....kwani tunajua kuwa YEYE sio malaika jamani!
Embu tafadhalini, kwa manufaa ya nchi.....hilo Kombora liwekeni kiporo....leteni CD ya Arusha kwanza, ila mshkaji anafaa kikweli tumpeni nafasi! Mwacheni aifanye tanzania inyooke kama Rwanda jamani!
Wananchi hatuhitaji tuongozwe na MALAIKA katika serikali zetu, tunahitaji MZALENDO na MCHAPAKAZI mambo ambayo tunaamini MAGUFULI anayo!