Recent content by Kakasimba

  1. K

    Maprofea waachane na siasa

    With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs...
  2. K

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Hapa mahakama as an institution inahukumiwa na insensitivity yake!!!! How do you ignore article 100 of the constitution in a very sensitive matter like this. Kwanini wasinge behave kama walivyofanya kwenye applications za ku restrain Bunge la Katiba!!!
  3. K

    Watanzania ni lazima tukubali matokeo: Tutake tusitake, utawala wa sheria lazima uheshimiwe

    Katika British common law traditions, sijawahi kuona mahakama ikitoa injunction kwa Bunge kuzuia shughuli zake!!!! This is a new precedent, issued per incurium, in clear forgetfulness of article 100 of the basic law of the land. Does it bind the sovereign meaning a body representing the...
  4. K

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    This is is unprecedented!!! And, very interesting! Let's wait and see what will happen tomorrow morning. The central issue here will be one of institutional crush of the major organs of the state. In this matrix, all the three organs having divers interest, that is, the executive is involved in...
  5. K

    ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

    wewe Marwa mkurya, Maswi mkurya, Werema mkurya, Muhongo mruri!!!! Sasa endelea na ujushi wako.
  6. K

    Revealed: Dr. Kigwangalla kanakili hotuba nzima ya Obama ya mwaka 2004 aliyoitoa Boston

    Ni kawaida yake. Last year, aliiba sehemu ya kitabu cha msomi, Acemeglu na kuandika makala kwenye gazeti moja... Kuhusu maendeleo, watu kadhaa walimsifia... Lakini, ilikuwa copy-work piracy ya Hali ya juu... Neno kwa neno... Kutoka Kiswahili kwa kiingereza!!!! Ati anataka awe Rais wa...
  7. K

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Inajulikana, Maaskofu wengi wa KKKT ndio wale ambao wanamradi na Mmeru wa Kimasai, aka Mammvi wanaruhusu makanisa yao kuwa uwanja wa kumwandalia urais 2015. Waache ujinga.
  8. K

    Msaada: Hansard za bunge tarehe 07 feb 2013

    Hapa TZ Hansards ni siri; si ndio maana hata kurusha live mijadala ya Bunge sasa wanataka kupiga marufuku!!!!!!!
  9. K

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    Visit: http://en.wikipedia.org/wiki/Legislative_violence/ this is how things happen to bring about change that Dr Kashilila is not aware of.
  10. K

    CHADEMA haitavumilia kutokuonyeshwa Bunge "LIVE'-Mnyika

    Hatua kali anazosema Mnyika pengine ni hizi zilizorekodiwa katika historia ya kupigania democracy- fungua: Legislative violence - Wikipedia, the free encyclopedia
  11. K

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Hii kitu ipo dunia nzima! Soon tutaishuhudia TZ, na ni kitu chemo katika kuleta heshima ya kidemokrasia... Kwamba hata Kama tunatofautiana itikadi lazima tuheshimiane, mtu au kundi la watu wakileta ujinga ikibidi mnazichapa, next day heshima moja kwa moja na hata hizo kanuni ndio zinaheshiwa...
  12. K

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Hii kiboko!!!! Hansard siri na sasa wanarudi katika ujima aw Bunge kijifungia na kukaa kama kamati!!!!! This must be resisted....
  13. K

    Nini Sababu ya Umaskini au Utajiri wa Nchi? Mfano wa Tofauti kati ya Korea Kusini na Korea Kaskazini

    Dear Compareno, You are intellectually fit and seem to know sources, sio Dr Kigwangalla ana copy copy kazi za watu!!!! Hebu tuijadili hoja hii kwa mapana yake tukizingatia hali hali ya Tanganyika na Zanzibar....
  14. K

    Nini Sababu ya Umaskini au Utajiri wa Nchi? Mfano wa Tofauti kati ya Korea Kusini na Korea Kaskazini

    Dr KIGWANGALA AMENUKUU NA KUTAFSIRI KAZI YA WATU: Ndugu zangu, sina tatizo na hoja ya msingi ya Dr Kigwangala; na hata umuhimu wa mantiki yake, na hakika hili ndilo limeamsha ile hamu wa watu wengi kuchangia kwa kirefu, tofauti sana mada nyingine zinazoandikiwa humu. Tatizo langu mimi ni la...
  15. K

    Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

    Those who have worked with South Africans will testify; their politics at work places is beyond the CCM-CDM ones!!!
Back
Top Bottom