ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

Mkuu Nyangeta Marwa, kama hii ni kweli kuwa Membe anamtumia Jack, then Membe ndie chaguo la JK!, kwa sababu, huyu jamaa Jack, ndio was the master mind wa mtandao wa JK ile 2005!. Kwa wote waliokuwa UDSM ile 2005, waliokuwepo ile siku JK anatangaza rasmi kugombea, alitangazia ukumbi wa Mkurumah, shughuli ile ilipangwa na Jack!.

Huyu Jack ni genius wa siasa za bongo, na kitu kizuri kuhusu jamaa huyu ni very humble and down to earth!. Kwa hivyo kama Jack ndie mpambe wa Membe, then Bernard Membe ndie rais wetu, 2015!.

Pasco.

Mkuu, umeanza kukosa imani na Lowasa?
 
Napata wasi wasi kwa hawa mahasimu wawili (Membe na Lowasa) kukaa meza moja na kupanga kusaidiana ktk mkakati wa kumuangusha Pinda.
 
Lowasa, hajaichafua serikali leo. Serikali hii ni chafu tangu zamani za mwinyi. Lowasa alichaichafua muda mrefu kwa ufisadi wake wakati akiwa mtumishi wa serikali. Na kwa kuwa serikali inamkumbatia na kuendelea kumpa nafasi ya kufanya rushwa bila kumkamata, kutokuhoji utajiri wake wa kifisadi, kukosa mipango makini ya kuhakikisha mali zote zilizopatikana kifisadi zinarudishwa kwa wananchi, serikali inajichafua yenyewe kwa kukumbatiana na wachafu kama lowasa.

Mizengo pinda etal, si wasafi. Mtu yeyote kuwanenea maovu kama hayapo ni kujidhalilisha. Lakini kama maovu yapo yalikuwa yamefichika, sasa yamewekwa hadharani, kwa nini walaumiwe walio yaweka hadharani na si walioyatenda? Hili ni tatizo. Hatuwezi kuendelea kupaka rangi na kupulizia manukato ili kuficha uozo uliomo ndani ya nyumba. Huu si usafi ndugu yangu.

By the way, UKAWA wanatakiwa waandae namna gani wataongoza hii nchi kwa nguvu na kasi kubwa ili angalau kupunguza gape ya maendeleo iliyoletwa na ccm kwa muda wake wa utawala wa kifisadi. Ccm waacheni waparanganyike kwa sababu hawana nguzo ya kusimamia tena. It is a dead partyna sijui kwa nini mnalihangaikia. HAKUNA MTU CCM ATAKUWA RAISI WA TANZANIA TENA!. CCM ILIKUFA NA MWALIMU, KILICHOPO HAPA NI CHOMBO CHA KIGAIDI NA KIFISADI KINACHOTUMIWA JINA LA MWALIMU NYERERE KATIKA KUHADAA WATU. WTANZANIA TUMELITAMBUA NA HAKUNA NAMNA MTABADILISHA UKWELI HUU.

UKAWA, andaeni utaratibu utakaofanya raslimali zetu zote zilizoibwa zinarudishwa katika hali ya amani na utulivu wa taifa, na kufanya kazi za maedeleo ya wananchi.

UKAWA sasa tayarisheni sera kamili na vipaumbele katika utawala wenu kuhakikisha mnaokoa watanzania wanaozama chini ya bahari kwa umakini.

Ccm Bye Bye!

Membe na Lowasa wanajisumbua huo urais hawataupata pamoja na kuichafua serikali Lakini hawatapata kitu kama wanavyodhani wajipange upya hizi njia za kizamani sana.
 
@tuache majungu! hayajengi wandugu! Benard MEMBE NI MTU SAFI NA ASIYEZWA KUHUSISHWA NA UCHAFU KAMA WA HAO VIONGOZI WENU WALIOCHAFUKA KWA UFISADI!!!/totaly nutty stories
 
Last edited by a moderator:
inamaana pinda kawa tishio kwa hawa majamaa wawili mpaka wanahaha kumchafua yeye tu na mbona hatuoni dalili za yeye kuvuma kama lowassa au yeye pinda amewateka ndani ya chama na sio wananchi kama mwenzie lowassa
 
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Barnard Membe anatuhumiwa kufanya kampeni nzito kwa wabunge waishambulie na kuiangusha serikali bungeni kupitia saakata la escrow. Mpango huu unaendeshwa kwa usiri na umakini wa hali ya juu huku kachero huyo wa zamani akiwatumia wabunge wa upinzani na si wa chama chake CCM.

Taarifa zilizovuja kutoka ndani ya kambi ya Membe zinaeleza kuwa Membe anaitumia nafasi hii ya sakata la ESCROW kama fimbo ya kujiimarisha kuelekea 2015 kwa kumshughulikia mtu anayetajwa kumvurugia upepo wake wa kisiasa waziri mkuu Mizengo Pinda. Katika kufanikisha jambo hili, Membe anatumia ushawishi na hata kuwahonga fedha baadhi ya wabunge wa upinzani akimtumia mpambe wake wa karibu ambae ndiye humtumia katika kusimamia mipango yake ya urais Jack Steven Gotham.

Mpambe huyu wa Membe ndiye aliyesaidiwa kupata tenda ya mabilioni ya shilingi ya vitambulisho vya taifa ambavyo hadi leo bado vimekua ndoto. Jack Gotham ambae ametua na kujichimbia Dodoma kwa siri kubwa, amekuwa akifanya vikao na wabunge mbalimbali ili kufanikisha zoezi hilo. Baadhi ya wabunge ambao tunawahifadhi wanaotoka vyama vya upinzani wameitwa na kupewa maelekezo maalum ya kuhakikisha kuwa wakati wote Pinda ashambuliwe, achafuliwe na kushinikizwa awajibike kisiasa kwa kujiuzulu. Baada ya maelekezo wabunge hao walipewa fedha za kimarekani USD kama posho ya kazi kufanikisha anguko la Mizengo Pinda.

Inasemekana Membe ameamua kuendesha mkakati huu kwa siri kubwa akiwa amejificha nyuma ya kivuli cha waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ambaye ndiye anatajwa kuwa anawatumia wabunge kumshambulia Pinda na serikali ili ajiuzulu kama njia ya kumsafishia njia ya Urais 2015. Hivyo Membe ametumia akili zake za ukachero kucheza na fikra za watu, na kufanya kampeni ya siri kumuondoa Pinda.

Aidha, Membe amekataa kuwatumia wabunge wa CCM akihofia kuwa watavujisha siri. Hadi sasa maelfu ya dola na shilingi yameendelea kutumika kufanikisha kazi hii. Taarifa za ndani zinaonesha kuwa Membe amekuwa akivujisha siri na kuwapa wabunge hao juu ya mipango inayofanywa na serikali kukabiliana na sakata hili. Chanzo cha kuvuja kwa habari hii ni baadhi ya wabunge hawa kuzungumza na wenzao wa CCM.
Mpambe wa Membe Jack Gotham amekuwa ndiye muwakilishi wa Membe katika vikao vyake vya kushawishi watu wamuunge mkono Membe. Aidha amekuwa akimuwakilisha Membe katika vikao vya kusaka pesa za kampeni. Kabla ya kutua Dodoma, Jack alikua katika ziara ya nchi za kiarabu ambako Membe anasemekana kupata fedha za kampeni ya Urais.
Hongera Membe. Tuungane kuiangusha serikali.Endelea na moyo huo wa kuwasaidia wabunge wetu wa upinzani.

wewe Marwa mkurya, Maswi mkurya, Werema mkurya, Muhongo mruri!!!! Sasa endelea na ujushi wako.
 
i dont like Membe, i think he is not capable etc. but this is crappppp
 
@tuache majungu! hayajengi wandugu! Benard MEMBE NI MTU SAFI NA ASIYEZWA KUHUSISHWA NA UCHAFU KAMA WA HAO VIONGOZI WENU WALIOCHAFUKA KWA UFISADI!!!/we wants a nutty stories

USAFI AU UCHAFU sio sababu ya kusema anafaa ama hafai

tatizo ana power gani ya kuongoza kama kiongozi anaweza yeye akawa msafi lakini viongozi wa chini yake wakawa hawafai kabisa na yeye akashindwa kuwakemea yakawa kama haya yanayo tokea sasa
 
Last edited by a moderator:
Bado mtahangaika sana maccm, dhambi mnazofanya zitawatafuna taratibu msijue pa kuanzia wala kumalizie, na mwisho wa siku hamtamjua mchawi. Swala la escrow si la membe wala lowasa, huu ni wizi tu ambao mtu yeyote angeweza kuulaani akiwa na akili zuri. Pinda hachafuliwi kwani keshajichafua mwenyewe na kibaya zaidi anaendelea kujichafua kwa kutetea hii issue isijadiliwe bungeni, sasa hapo mchawi ni membe au pinda, NYANGETA MARWA uwe unatumia akili za kuambiwa na uchanganye na zako. Ila sikulaumu kwa sababu ndo watu wa ccm walivyo, wanaacha kutafuta chanzo cha ugonjwa wanahangaika na kitu kingine, stupid
 
Hili la escrow halitaacha salama maccm! HIVI KINANA NA NAPE WANALIONGELEAJE HILI SUALA LA ESCROW KWENYE ZIARA YAO? Au wanajifanya hawajui kama lipo? Mliopo huko waulizeni mwatake watoe kauli zao kuhusu hili dudu washa
 
Kwenye kichwa cha habari cha uzi kama huu mnatakiwa muanze na neno tetesi.
 
Membe na Lowasa wanajisumbua huo urais hawataupata pamoja na kuichafua serikali Lakini hawatapata kitu kama wanavyodhani wajipange upya hizi njia za kizamani sana.

umekunywa mbege wewe si bure kwani hakuna wizi wa hizo pesa za escrow??hadi watu wasiziongelee??
 
Mkuu Nyangeta Marwa, kama hii ni kweli kuwa Membe anamtumia Jack, then Membe ndie chaguo la JK!, kwa sababu, huyu jamaa Jack, ndio was the master mind wa mtandao wa JK ile 2005!. Kwa wote waliokuwa UDSM ile 2005, waliokuwepo ile siku JK anatangaza rasmi kugombea, alitangazia ukumbi wa Mkurumah, shughuli ile ilipangwa na Jack!.

Huyu Jack ni genius wa siasa za bongo, na kitu kizuri kuhusu jamaa huyu ni very humble and down to earth!. Kwa hivyo kama Jack ndie mpambe wa Membe, then Bernard Membe ndie rais wetu, 2015!.

Pasco.

Mwaka 2005 Kikwete alitangaza rasmi kugombea uraisi akiwa ofisi ya CCM mkoa Pwani kibaha na kwa hiyo haikuwa Nkrumah Hall
 
Nani amewadanganya kuwa huyo Jack Gotham ndiye master mind wa Kampeni za JK? Hana uwezo huo wala hataupata hadi dunia inafika ukingoni.Master minds tunawajua, kina Kinana, sio huyo mchumia tumbo. Membe sio chaguo la JK kama anavyojidanganya, tena JK kamchoka lakini anamla kisogo tu. Ni mtu asiyefaa na mwenye visasi. Anasafiria nyota ya mama Salma Kikwete, mke wa Rais. Mama Salma nae kamchoka, wapambe wanamkimbia, pesa za Ghaddafi na za waarabu wacha ziendelee kutumika ili ziishe. Akimaliza hizo aanze kutumia na zile alizoficha Shelisheli, akimaliza atabakiza hoteli ya kitalii Mtwara anayosimamia mdogo wake. Usalama wa taifa unayo yote haya.
 
Rais Kikwete angemtaka Membe angeruhusu apewe adhabu ya kifungo cha kukiuka maadili ya chama?
 
Mwaka 2005 Kikwete alitangaza rasmi kugombea uraisi akiwa ofisi ya CCM mkoa Pwani kibaha na kwa hiyo haikuwa Nkrumah Hall
Mkuu Kadozi, laiti ungelijua tarehe alipotangizia Ukumbi wa Nkurumah na tarehe ya kutangazia ofisi ya CCM ungenielewa!. Mkuruma alitangazia nia a way back kabla ya hilo tangazo la Ofisi ya CCM na kwa kukusaidia zaidi ni siku alipokuja hapo Ofisi ya CCM ni kuchukua fomu ya kugombea na sio kutangaza atagombea!.

Pasco.
 
Mkuu, umeanza kukosa imani na Lowasa?
Mkuu Kyenju, huku sio kukosa imani na EL, EL mpaka sasa ndio the best of the best that CCM has!. Ila viongozi wa haya makundi yanayounda "the winning coalition", Jack Gotham is the best!.

Pasco
 
Back
Top Bottom