Recent content by kakabahati

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Kwenye Uber!

    Mm ni dereva nahitaji mtu mwenye kuhitaji dereva nipo tayari,kwa mkataba au kwa hesabu tuu kawaida
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mkuu mshana jr kama unaoga halafu ukimaliza ndio unajimwagia maji ya chumvi,kuna haja gani ya kuchukua maji 20L?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Duniani Hakuna Maandamano ya Wanasiasa yaliyoleta Matokeo Chanya

    Watu kuuliwa kwa risasi na wengne kukatwa katwa na mapanga ndio kusafisha nchi,tumieni akili acheni kutumia matumbo kufikiria,kuweni na utu.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Ahsante sanaa,nmekuelewa saaanaaaaa,ubarikiwe
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Kama huna ushauri uvunge tuu,sasa hii thread uliisoma ya nn....?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Hata huyo Mungu unayemhubiri naona sio huyu tunayemuamin,mm nafikir ungeomba Mungu akupe nguvu tuu umtunze huyo mtoto kwa upendo wa kweli kumbe unakimbia,upendo wa Mungu hapo uko wap kama hata hujui kumsamehe aliyekukosea
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Sijawahi kuacha kumtunza mtoto wangu,na picha kwenye simu zipo kibao,ila hatunaga mazoea ya kukaguana simu
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Sasa ndio akakuonyesha kuwa anaye
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Omba Mungu iwe hvyoo,usije kushangaa siku unaletewa mtoto ana miaka 20,sijui utaondoka au utamlaumu Mungu.....
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Sio kweli bro,kuhusu hlo wala sina wasi wasi
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Una akili sanaaaaaa
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Hilo ni la mwisho mzee nlilokuwa nimebakisha,hakuna hata chembe ya siri nliyobakiwa nayo
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,nina mpenzi wangu tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka miaka 3,sasa umefika wakati mimi na yeye tumeona ni wakati muafaka wa kuishi pamoja,tumeshatambulishana kwa wazazi wote . Bahati mbaya kuna kitu nilimficha kwa sababu kila nilipokuwaga najaribu...
Back
Top Bottom