Shisha kwa kichaga ni SAFI/NZURI naomba serikali ije hewani na vitu vya msingi.Namkumbuka sana Amina Chifupa wa Mpakanjia alivyoachwa kuungwa mkono na serikali hii hii ya CCM
Kwa muda wa mwezi sasa tangu JPM aingie Ikulu nimeona tofauti kubwa kiutendaji kwani matukio ambayo yangeundiwa tume na JK watu wako nje ya kazi na pasport za kusafiria zimezuiliwa pia wengine wako chini ya ulinzi wa polisi. Kweli HAPA KAZI TU ni kiboko
Mimi ni mwanamabadiliko lakini kwa hotuba ya Dr Pombe ikiwa atasimamia anayoyasema nchi yetu itabadilika kiuchumi.
Lakini pamoja na hayo sisi wanamabadiliko tutaendelea kufuatilia hatua kwa hatua kwenye ahadi zake na kulazimika kufikiri zaidi njia bora zaidi ili kuhakikisha wananchi...
Mungu akujalie ili huo ugonjwa wa akili unaoufurahia na kuutamka kwa madaha kwa kiburi cha uhai uliojaliwa na Mungu wa sio kwa ujanja wako ukupate wewe ili furaha yako itimie ila usiwape mzigo ndugu zako wenye mtazamo tofauti na wako juu ya Mzee Lowassa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.