Recent content by Kaka Junior

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya Sasso

    Mayai bado yanapatikana wakuu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya Sasso

    Jipatie mayai mazuri ya chotara, makubwa kwa shilingi 15,000 tu kwa trei. Yana kiini cha njano na ni mazuri sana. Napatikana Dodoma, karibu sana unayehitaji.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa kuuza barafu/ juisi- Mwanza

    Wakuu bado sijapata mtu wa juisi. Kama unaweza au unamjua anayeweza tafadhali niunganishe naye, preferably mdada.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa kuuza barafu/ juisi- Mwanza

    Kazi ni jumatatu mpaka jumamosi, malipo tutakubaliana kwa asilimia kulingana na mauzo, kila siku.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa kuuza barafu/ juisi- Mwanza

    Habari ya wakati huu! Kama kichwa kinavyojieleza, wanahitajika vijana wawili mmoja kwa ajili ya kuuza barafu na mwingine juisi (kwa kutembeza). Sifa kuu ni uchapakazi na uaminifu. Jinsia yoyote ila wa kike watapewa kipaumbele zaidi. Uwe unaishi Mwanza, kazi iko Mkolani, ni ya kuja na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Urithi Unaotutenganisha

    Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa katika makala hii, au hata makala nzima. Makala hii ni ndefu ila ni vema ukijitahidi kuisoma yote...
  7. K

    JamiiForums Tanzania The Law School of Tanzania: Maoni, Ushauri, Dukuduku

    0759206320 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Books Translation

    Hebu nipatie mwongozo kiongozi...asante pia kwa ushauri mzuri
  9. K

    JamiiForums Tanzania Books Translation

    Kwa wale wenye uhitaji wa aina hii bado ninapatikana. Karibuni sana!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Books Translation

    Kwa wale wenye uhitaji wa huduma hii, bado ninapatikana. Karibuni sana!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Books Translation

    Habari zenu wadau. Natoa huduma ya kutafsiri vitabu, majarida na vingine vya aina hizo, kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili. Kwa wenye kazi za aina hiyo karibu tuzungumze. Gharama ni nafuu na utalipa baada ya kazi yako kukamilika. Karibuni sana!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Books Translation

    Habari zenu wadau. Natoa huduma ya kutafsiri vitabu, majarida na vingine vya aina hizo, kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili. Kwa wenye kazi za aina hiyo karibu tuzungumze. Gharama ni nafuu na utalipa baada ya kazi yako kukamilika. Karibuni sana!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Video Shooting services zinapatikana

    Habari zenu waungwana.Kwa wale walioko Mwanza wanaohitaji kupata huduma ya video recording kwenye matukio yao mbalimbali kama harusi, sendoff, ubarikio n.k na video recording za kwaya tuwasiliane kwa kazi zenye ubora wa hali ya juu.0759206320. Karibuni sana
Back
Top Bottom