Books Translation

Books Translation

Kaka Junior

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
13
Reaction score
4
Habari zenu wadau. Natoa huduma ya kutafsiri vitabu, majarida na vingine vya aina hizo, kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili. Kwa wenye kazi za aina hiyo karibu tuzungumze. Gharama ni nafuu na utalipa baada ya kazi yako kukamilika. Karibuni sana!!!
 
Kwa wale wenye uhitaji wa huduma hii, bado ninapatikana. Karibuni sana!!
 
mkuu kwanini usitafute haki kutoka kwa waandishi? mfano ningependa watu wasome hiki kitabu Psycho-Cybernetics by Maxwell Maltz
 
Back
Top Bottom