Wanahitajika vijana wa kuuza barafu/ juisi- Mwanza

Kaka Junior

Member
Sep 15, 2015
13
4
Habari ya wakati huu!
Kama kichwa kinavyojieleza, wanahitajika vijana wawili mmoja kwa ajili ya kuuza barafu na mwingine juisi (kwa kutembeza).
Sifa kuu ni uchapakazi na uaminifu.
Jinsia yoyote ila wa kike watapewa kipaumbele zaidi.
Uwe unaishi Mwanza, kazi iko Mkolani, ni ya kuja na kurudi...siyo ya kulala.
Karibu DM kwa maelezo zaidi!!!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu bado sijapata mtu wa juisi. Kama unaweza au unamjua anayeweza tafadhali niunganishe naye, preferably mdada.
 
Back
Top Bottom