Books Translation

Kaka Junior

Member
Sep 15, 2015
13
4
Habari zenu wadau. Natoa huduma ya kutafsiri vitabu, majarida na vingine vya aina hizo, kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili. Kwa wenye kazi za aina hiyo karibu tuzungumze. Gharama ni nafuu na utalipa baada ya kazi yako kukamilika. Karibuni sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom