Kweli inadhihilisha ni kwa vp rushwa inatumika nchini kwetu,kitendo cha RPC mkoa wa Ruvuma kuamuru ffu kuwapiga wanafunzi wa chuo cha mtakatifu yosefu wakati wakiwa wamekaa bila vurugu zozote,inadhihirisha kuwepo kwa viongozi mzigo katika serikari yetu isiyo sikivu,kwani matatizo yao yalisha...
wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:
Tatizo lenu ni moja,mnayakologa then yakiwashinda ndo mnakimbilia kuomba ushauli,ni vyema tunge msikia na yeye ilituwweze kujua unayo ya sema ni kweli ua la ndo upate ushauli juu ya jambo lako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.