Recent content by kajumlo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Membe kutupwa nje, Makongoro kumrithi Kikwete

    Jamani mbona mnamkomalia huyu mshkaji! Kwani mnavyo ona makongoro hawezi au hafai kua rais wa nchi hii?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Unajua kama utakua unalalamika sana hv, wenzako watakusaidia ili uache kulalamika. Na kwa imani yangu asilimia kubwa ya wanaume walio wengi ckuhizi hawa wakojozi wake zao! Hii ndo shida. Ok, kama vp endelea kunywa mchuz wa pweza nduguyangu, nackia ckuizi ndo ujanja huu kunywa mchuz wa pweza.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Sasa ndugu yangu unashangaa huyu mtoto kuwatukana wananchi, atashindwaje! Wakati hata mtoto mwenyewe unamuona kabisa kua hana maadili, hata mavazi yake unayaona kabisa hayana heshima. Huyu hakuchezwa na wala hakufundwa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

    Sasa wewe una uhakika gani kama ni mwanaume?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

    Nduyangu daka mtumba endelea kutujuza mkuu. Nipo paja nawewe sana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Aiiissee!!!
Back
Top Bottom