Recent content by KAJOKELAA

  1. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Kero ya kelele katika kijiji cha Nhungumalwa, Kwimba, Mwanza

    Huna pesa,ukipata hutaendelea kulalamikia tatizo dogo kama hilo,usingizi utakuja bila kujali kelele
  2. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Nauli kutoka mjini hadi shule ya tanga nauli shilingi 500 siyo kwa pesa mnayoisema
  3. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Je, utafanya nini ili uingize angalau shilingi elfu mbili kwa siku?

    Tafuta laki moja, anza kubeti odd ya 1.10 kwa siku inakutasha kwa siku utapiga pesa mpaka basi.
  4. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Huna ndugu?
  5. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Kuna upungufu wa Tani 365,000 za mafuta ya kula nchini

    Tutumie mafuta ya nguruwe lita moja 1200 tu
  6. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Ni route ipi rahisi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma?

    Tatizo la Dodoma gharama katika malazi
  7. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Ni route ipi rahisi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma?

    Naongeza ya 4 Panda basi za mwanza to iringa,lala iringa asubuhi iringa to ruvuma mapema sana
  8. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Mchungaji akamatwa na Polisi akituhumiwa kumnajisi Mwanafunzi

    Soma uelewe,kakamatwa na wananchi na kupelekwa polisi,sasa ubambikaji wa kesi unatoka wapi,una chuki na jeshi la polisi
  9. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    Huko wilayani mbinga mchungaji wa kanisa la AGT akamatwa akiwa anabanjuka kaburini na binti wa darasa la sita
  10. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

    Tunaweka nguzo vijijini,mambo yatakuwa sawia tukikamilisha
  11. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

    Hawa watu wanatuchezea akili,kuna watu wasomi wazuri wameaply lakini cha ajabu wameachwa anakuja kuchaguliwa ambaye hana sifa kabisa,hivi tamisemi wanasubiri hata hili aingilie mh.rais magufuli wakati udhaifu mmeuona,hawa jamaa bila michongo hupati ajira,watu wanawatu wao hata matangazo ya ajira...
  12. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

    Kumbe wewe unaongelea maisha ya watu wa dar,sisi wa vijijini tunatumia masaa 2 kuifikia benki,sasa hayo masaa 2 nauli kiasi gani?fikiria kabla ya kuposti ,Tanzania ni kubwa mzee,siyo kwamba sisi tunapebda tukatwe pesa nyingi ni matatizo tj
  13. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Walimu wa 'Driving Schools' wasiwe ni Askari wa Usalama Barabarani?

    Kwani trafiki wote wanaweza kudrive,wangine hawajui chochote
  14. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hoteli nzuri Songea na usalama wa mji

    Nenda lift valey
  15. KAJOKELAA

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    Ukiwa ns hela raha sana
Back
Top Bottom