TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

Kama hutaki kuripoti basi baki hivyo hivyo mkuu! Pole!
Aliyeanzisha uzi huu yuko sahihi na hakukuwa na ulazima wa yeye kutaja eneo kwa kuwa maeneo mengi yameathirika na uhuni huu, ulichofanya wewe katika jukwaa hili ni kuthibitisha tu kuwa kata kata hii ya umeme haitokei kwa bahati mbaya, ni mpango unaoratibiwa na Tanesco wenyewe, nashawishika kuamini kwa kiasi kikubwa tu kuwa wewe ni mmoja wao... Tamati tamatika.
 
Mimi wala si mfanyakazi wa Tanesco! Ila ukweli utabaki pale pale kuwa bila kusema eneo lililoathirika na tatizo hilo itakuwa vigumu kwa Tanesco kulishughulikia kwa kuwa maeneo mengi tu umeme upo vizuri tu na watz wanapongeza kila siku. Anyway usiku mwema!
 
Kwa maana hiyo Tanesco watajuaje sasa shida ilipo yaani waanze kutafuta Tanzania nzima mkuu? Hebu wakati mwingine tuwe realist katika complaint zetu mkuu! Kwani kusema kwa mfano Magomeni mtaa wa Makongoro itakuwa na shida kweli??
Kwani si umeona comments za watu,and almost everybody is complaining.Cheki bandiko lifuatalo!

Boresheni huduma bwana, hakuna penye nafuu.
 
Tunaweka nguzo vijijini,mambo yatakuwa sawia tukikamilisha
Kwani sasa hivi nguzo hakuna mkuu, si zipo.Au una maana nguzo za zege.Tatizo la TANESCO hata hivyo ni weledi,commitment,lack of nationalism na ndugunization.Hayo yakiondolewa utendaji TANESCO utakuwa bora sana.
 
Sasa watashughulikia eneo lisilojulikana?
Nimeshakuambia hili sio tatizo kwa sasa,matatizo ni wide spread,fanyeni kazi kwa weledi ili msaidie wananchi kuondokana na tatizo la kukatika katika kwa umeme,which is uncalled for,kwa kuwa umeme upo wa kutosha.
 
Mashirika ya umma ni takataka
Mkuu kweli utendaji wa mashirika yetu ya uma ni very questionable.Hata hivyo mengine kama TANESCO ni very strategic kiuchumi,we cannot nationalize it.The best we can do ni ku-devise mbinu nzuri na sahihi za kuliboresha,which is very possible.
 
TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa nguzo to me ni very suspicious,it could be an inside job.

Hali tuliyo nayo hivi sasa ni almost sawa na scenario ya 2015.Sio siri,huduma ya umeme kwa sasa inakera,inakera inakera na ni duni sana.How long we can endure this seriously I do not know,but honestly,the times are hard. Nawahurumia sana watu wenye biashara zinazotegemea umeme 100%,kwa sababu ends can't meet I am sure.Yaani kwa siku umeme unakatika hata mara sita, and may be even more.Really?Jamani we are a third World country yes,lakini this is too much.

Sasa hivi ninapoandika hii comment,hakuna umeme, na tangu asubuhi umekatika almost three times.No guys,tuwe serious.Kwa jinsi hii kweli tutafanikisha sera yetu ya viwanda, no way, kwa kuwa hili ni swala la weledi,committment and nationalism.

Jambo la kuchukiza ni kwamba,matatizo yanayotolewa ni very flimsy,ambayo watu wakiwa serious yanatatulika.
Sababu kama nguzo zimeanguka, nguzo zimeungua,nguzo zimechomwa yanatatulika. Sometimes hata hakuna maelezo!Mnaambiwa tu we are sorry umeme umekatika mafundi wako kazini. Jamani TANESCO tumechoka, tunataka umeme wa kuaminika.Please give us what we rightly deserve.
Mmh, usikute wanachoma za miti ili wahalalishe tenda kubwa za nguzo za zege za kureplace haraka haraka kwa nchi nzima
 
Anything is possible with TANESCO Francis,si unakumbuka biashara ile ya kitapeli kabisa ya nguzo kutoka Africa ya Kusini,wewe acha tu,hawa watu hawana huruma kabisa.Hata sijui kwa nini hakuna mtu aliyewajibishwa kwa uovu ule watendaji wa TANESCO waliowafanyia wananchi.
 
Kama huwezi sema eneo huo ni udaku tu kama udaku mwingine! Wewe unashida unashindwaje kuripoti shida yako??!!
 
How could they know the area you are complaining about it? Why don't you lodge your complain unonymisely through Tanesco JF ID available here? Naweza kusema huu ni udaku tu kama udaku mwingine!
Mpuuzi wewe,tatizo liko kila mahali halafu bila aibu unasema ni udaku!Cheki bandiko langu lilivyo na support,halafu fuata link ifuatayo,nao ni udaku!TANESCO kuweni serious jamani.

Mimi wala si mfanyakazi wa Tanesco! Ila ukweli utabaki pale pale kuwa bila kusema eneo lililoathirika na tatizo hilo itakuwa vigumu kwa Tanesco kulishughulikia kwa kuwa maeneo mengi tu umeme upo vizuri tu na watz wanapongeza kila siku. Anyway usiku mwema!
- Kama wewe si mfanyakazi wa TANESCO unapata wapi uhalali wa kujibu hoja zilizo elekezwa TANESCO?

- Kama wewe si mfanyakazi wa TANESCO unapata wapi uhalali wa kubisha uwepo wa shida ya umeme katika maeneo mbalimbali?

- Acha kua mpumbavu.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ass! Maeneo mbalimbali yapi?? Tumeomba wayataje wameshindwa kwa sababu wanaleta siasa uchwara tu mkuu!!
 
Mpuuzi wewe,tatizo liko kila mahali halafu bila aibu unasema ni udaku!Cheki bandiko langu lilivyo na support,halafu fuata link ifuatayo,nao ni udaku!TANESCO kuweni serious jamani.

Huna lolote wewe!! unashindwa hata kutaja eneo lililo na shida ya umeme bali utopolo tuu.
 
TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa nguzo to me ni very suspicious,it could be an inside job.

Hali tuliyo nayo hivi sasa ni almost sawa na scenario ya 2015.Sio siri,huduma ya umeme kwa sasa inakera,inakera inakera na ni duni sana.How long we can endure this seriously I do not know,but honestly,the times are hard. Nawahurumia sana watu wenye biashara zinazotegemea umeme 100%,kwa sababu ends can't meet I am sure.Yaani kwa siku umeme unakatika hata mara sita, and may be even more.Really?Jamani we are a third World country yes,lakini this is too much.

Sasa hivi ninapoandika hii comment,hakuna umeme, na tangu asubuhi umekatika almost three times.No guys,tuwe serious.Kwa jinsi hii kweli tutafanikisha sera yetu ya viwanda, no way, kwa kuwa hili ni swala la weledi,committment and nationalism.

Jambo la kuchukiza ni kwamba,matatizo yanayotolewa ni very flimsy,ambayo watu wakiwa serious yanatatulika.
Sababu kama nguzo zimeanguka, nguzo zimeungua,nguzo zimechomwa yanatatulika. Sometimes hata hakuna maelezo!Mnaambiwa tu we are sorry umeme umekatika mafundi wako kazini. Jamani TANESCO tumechoka, tunataka umeme wa kuaminika.Please give us what we rightly deserve.Ninyi ni Watanzania wenzetu,kwa nini mnatutesa?
Imekuwa kero sana,kila siku jioni lazima umeme ukatike nabkuwaka.kiasi nahosia sana nyumba kuungua
 
TANESCO wanatuweka kwenye mazungira magumu sana kiukweli.Mtu uweka your lifes savings kwenye nyumba,sasa imagine inaungua kwa short ya umeme,unakwenda wapi.Wewe acha tu mkuu.Halafu sheria zetu zilivyo za kijinga sasa,huwezi kulipwa hata kama wao ndio wamesababisha.Insurance nako utazunguushwa wewee,mpaka ukate tamaa,yaani sisi bado sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom