Recent content by Kajirutaluka

  1. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Wastara taabani, anaumwa...

    Kila akipata nafuu anaishia kuchupa mipaka pengine bora abakie hivi
  2. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu leo Bungeni kuhusu mafuta ya kupikia ni ya kiuongozi, itekelezwe kwa vitendo

    Siasa tu kuna mfanya biashara mwenye uthubutu huo??
  3. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania UTAPELI TIGO PESA/MPESA

    Fafanua
  4. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

    Hahaahaa kitaaa kulikuwa na ule mchezo wa matani yaani hatari sana. Unaambiwa ulikunywa suda ukapanda chupa mara uliambiwa useme kirefu cha BP ukasema barkenja na paulo
  5. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa; the best risk decision maker ever! Tumpongeze

    Iringa imeendelea but all thanks to Kikwete
  6. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa viwanda: Kiwanda cha betri za National Panasonic kulikoni ?

    Kibo paper na kibo match? GENERAL TYRE NDIO IMESHINDIKANA KABISA??
  7. Kajirutaluka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

    Hali yako kwa sasa
  8. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Wasanii kushindwa kujigharamia matibabu nini tatizo?

    Wanapenda anasa sana na hawaweki akiba. Pia hawaoni aibu kuombaomba. Hata hivyo vyama vyao vya wasanii kubwa wanalofanya ni kutongozana na kula michango na kuratibu mazishi
  9. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Utawala wa Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) kama Rais wa Tanzania

    Public opinion is very fickle. Waliomuona JK dhaifu na hovyo juzi leo wanamuona shujaa
  10. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Rais kushindwa kutumia gari la wazi leo Dodoma ni ishara kuwa hatuko salama au ametishwa?

    Jina lako baya lakini kumbe ni genius
  11. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Hata haujajua utafiti ulizingatia nini ushasema bange!!
  12. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Wanashindwa vipi kutujua wakati wao ndio wanaotuuzia silaha zote na ndio waalimu wanaokuja kutufundisha mara kwa mara??
  13. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Mkuu ukisema hao jamaa ni wahuni utachekwa
  14. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Hawa jamaa wa global firepower ni maarufu kwa kufanya ranking na w a na vigezo kama 55 wanavyotumia kutoa takwimu
  15. Kajirutaluka

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Kuna ukweli wowote hapa kweli. Uganda si ndio tuliwagaragaza hapa majuzi zama za Idi Amini
Back
Top Bottom