Hakuna mwenye afadhali kumtetea kiongozi yeyote wa ccm aliye hai au aliye kufa ni sawa na kupiga kofi upepo huo ubadhirifu imefanyika wakati wa mwendazake na kila aliyepita anayake na ajae pia anayake kwaiyo kumbukumbu nyingi hazisaidii zaidi ya kuwatoa ccm madarakani basi.
Hakuna game hapo watanzania asilimia 90% hawakubaliani na ndugai na kimbuka utawala was nchi hii mpia unamvumo wa nguvu za jeshi kichinichi na mama kasha kidhi matakwa ya walimzi wetu wa mipaka pia kwaiyo huo mTego wakategee panya
kaka wasome hao wapashton uwaelewe kama unahisi ilikuwa rahisi hivyo muulize mrusi kabla ya mmarekani hao jamaa hawachoki bali utachoka wewe na kama ingekuwa rahisi marekani angeifanya hiyo ni alaska ya pili
hahahah.......................... wasome vizuri hao wafganistani uwaelewe. hao ni jamii ya watu wamaitwa wapashton
hao watu ni jamii ambayo mpaka marekani anavamia hawakuwa na ambukizi hata moja la ukimwi kwasababu waliridhia kutawaliwa kiislamu
hawa watu hawana technologia ya kumshinda...
ni kweli kabisa kwasababu huyo bennet alipata kuwa hata waziri wa linzi wa netanyahu kama sijakosea. ila nakumbuka katika mapigano yaliyopita nliwa kusema humu ndani hizo njia zake za kutumia mgogoro wa isarael na hamasi zimesha kwisha na nafkir i was correctly in my speculation
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.