Je, Bagamoyo Port itakuja kuwa White Elephant Port?

Namna Magufuli alivyokuwa akielezea vipengele vya mkataba wa bandari ya Bagamoyo katika eneo la uendeshaji sikuamini kabisa kama kuna kiongozi yeyote mwenye akili timamu hata kama angekuwa na tamaa ya fedha kiasi gani akubaliane navyo hivyo naamini ilikuwa ji chuki na fitina tu kwa uongozi uliopita na kwa kweli hilo halikuwa jambo zuri hata kidogo yeye angesema tu sababu zake halisi lakini sio kuchafua wengine ili aonekane yeye ndio mzuri wakati tunajua dhahiri viongozi wa nchi yetu karibu wote ni wapenda rushwa wakubwa.
1.Usiendeleze bandari yoyote
2.Usijenge barabara hata za kusini
3.Umiliki wa ardhi miaka 99
3.Usihoji kuhusu matumizi ya Ardhi
4.Marufuku TRA kufika Bagamoyo
5.Gawio la mapato ya bandari litaamriwa na mwekezaji atakapopenda.
.
.
.
Nikasema waliokubali mkataba kama huu ni uzao wa Mangungo.
 
Chini ya awamu ya tano hakuna mradi hata mmoja uliofanikiwa.

1. UDART - Dar es Salaam umefeli vibaya
2. Ujenzi wa masoko nchi nzima hii yote ni miradi isiyo na faida kwa watanzania.
3. Ununuzi wa ndege - Hapa hasara hailezeki huku kukiwa na usiri kwenye ununuzi.
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege chato- Sitaki kuzungumza kabisa
5.Ujenzi wa barabara kipande cha Morocco--alipoingia akasema amefuta maadhimisho ya sikukuu ya uhuru hela zikajenge barabara ya Morocco ndani ya miaka 2 barabara hiyo hiyo ikabomolewa ijengwe tena.
6. Ujenzi wa stand za mikoa- Stendi nyingi zimejengwa kwa kutaka sifa na sio kuangalia uhitaji wa eneo husika. Mfano stendi ya mabasi Dodoma na Songea.
7. Bwawa la umeme la Nyerere linajengwa sio kwa merit zake ila kujustfy usitishaji wa mradi wa gesi ulioasisiwa na JK.
8. Ubungo interchange- Tulichoaminishwa kwenye michoro ni tofauti na kinachoonekana.
9. Kuhamia Dodoma - Ilikuwa ni kujenga mtu kisiasa kuliko maslahi ya kitaifa.
Elimu bure- Hili likiendelea Tanzania itazalisha taifa la wajinga wenye vyeti.
10. Ajira na Mishahara- Hapa ni -100%

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuhusu stendi nakuunga mkono kuna ujinga mwingi umefanyika. Kuna mikoa stendi iko karibia km20 toka mjini, yaani ni mateso wakati basi zinazoingia stendi kwa wakati mmoja hazizidi 10.
 
Ijengwe tu.
Tunapenda vya Bwerere. Na mchakato ufanyike haraka ikiwezekana ndani ya this year wachina wawe washatia timu kuanza ujenzi. Kwa Tanzania ina kilomita za mraba ngapi.? Hata tuhangaike na Kaardhi kadogo ka Bagamoyo.
Kama ni vyanzo vya mapato tunavyo vingi.
Wakituachia baada ya hio miaka 100.
Wajukuu zetu watafaidika. Watatuona mababu zao tulikuwa magenius kuwaachia huo mradi.
Naunga mkono hoja Bagamoyo port. Lazima ijengwe..! 🤗🤗🤗
 
Hata Lowasa alisema wakati wa kampeni 2015 atavunja ujenzi wa bandari ya bagamoyo na mara moja angeanza kujenga na kupanua bandari ya Dar ,Mtwara na Tanga ndicho kitu alichokuja kufanya JPM baada ya kushinda uchaguzi.

Tayari bandari ya Dar imepanuliwa kwa gaharama ya trilioni 1.34 na uwezo wake umeongezeka mara 3 zaidi. Bandari ya Mtwara upanuzi umekamilika kwa gharama ya billion 307 na kuanzia mwaka huu korosho zote za kusini hazitaletwa bandari ya Dar tena ,zote zitasafirishwa kupitia bandari ya mtwara. Mafuta yote ya kusini sasa hivi yanashushwa Mtwara direct.

Bandari ya Tanga kandarasi yupo site.

Je hao wachina wanaotaka kuwekeza bandari ya trillion 23 bagamoyo mizigo wataitoa wapi?
Watapitishia nini hapo?

Urithi siyo majumba na magari tu hata maneno ni urithi pia, yanaweza kuishi miaka 200 ijayo. Hapa JPM ametuachia urithi ,hiyo timu inayofanya mazungumzo lazima wazingatie maneno haya ya JPM kama guidline, wakipuuza makaburi yao yatakuja kufungwa pingu miaka 20 ijayo.

Ndugai wachina walimlipia kila kitu kwenda China kumuonyesha presentation ya jinsi gani mradi wa bagamoyo ulivyo na manufaa kwa Tanzania.!!

Bila shaka kwenye mazungumzo mkataba wa bandari ya bagamoyo utapitiwa upya na kufumua mashariti yote yasiyo na tija kwa nchi yetu.

Ila case study ya miradi kama hii tayari ipo Zambia, Kenya, Siri lanka tunaweza kwenda kujifunza na kurekebisha makosa.

Ngoja tusubiri na kuona.
Mataga na misukule mingine haitaki kabisa kuamini kuwa msukule mkubwa kashatangulia
 
Ukiangalia michango wa wahuni wengi wa mitandaoni utagundua wengi wanachangia kwa utashi wao aidha wa kumchukia JPM si kitu kingine ukiwauliza wakupe sababu ya kwa nini tuwe na bandari Bagamoyo na wkt tunayo ya Dsm yenye uwezo wa kupark meli 11 kwa pamoja na yenye vitendea kazi vya kisasa Ticts pekee ana SSG 6 na TPA analeta SSG ambapo utendaji wake ni mkubwa sana kwani kazi ya Bandari ni kupakia au kupakua mizigo tu hzo zingine ni mbwembwe tu.

Wachina siku zote ni watu wajanja wajanja sana hakuna mwekezaji yeyote Duniani anaweza kubali akawekeza then akaruhusu na ww urun kitu kile kile atafungua Bandari yake then ataweka tariffs, facility tariffs and service tariffs ndogo hakuna mwenye meli au shipping line itakayokubali kuleta meli yake DSM port ni sawa sasa ulete shirika lingine la Umeme Tanzania then uone kama hili shirika letu litaendelea kuwepo hakuna kampuni au taasisi ya serikali Tanzania iliyoweza kufanya kazi kwa ushindani Tanzania ikaendelea kiwepo zaidi ya kujiendesha kwa hasara na hapo ndo utakuwa mwisho wa POD
Unajiona umeandika point za msingi kumbe ni upumbavu mtupu, tariff hupangwa na kuendeshwa na nchi husika, China akijenga bandari bado atakuwa hana mamlaka ya kukusanya kodi, eti unasema bandari ya dar inajitosheleza hivi nyie mnakula vyakula gani vinavyoondoa akili zenu, kwani hata xikijengwa bandari 50 kuna ubaya gani? Propaganda alizowalisha mwendakuzimu kwel ziliwakaa kichwani nyie wadanganyika.
 
Mwamba umemaliza
Chini ya awamu ya tano hakuna mradi hata mmoja uliofanikiwa.

1. UDART - Dar es Salaam umefeli vibaya
2. Ujenzi wa masoko nchi nzima hii yote ni miradi isiyo na faida kwa watanzania.
3. Ununuzi wa ndege - Hapa hasara hailezeki huku kukiwa na usiri kwenye ununuzi.
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege chato- Sitaki kuzungumza kabisa
5.Ujenzi wa barabara kipande cha Morocco--alipoingia akasema amefuta maadhimisho ya sikukuu ya uhuru hela zikajenge barabara ya Morocco ndani ya miaka 2 barabara hiyo hiyo ikabomolewa ijengwe tena.
6. Ujenzi wa stand za mikoa- Stendi nyingi zimejengwa kwa kutaka sifa na sio kuangalia uhitaji wa eneo husika. Mfano stendi ya mabasi Dodoma na Songea.
7. Bwawa la umeme la Nyerere linajengwa sio kwa merit zake ila kujustfy usitishaji wa mradi wa gesi ulioasisiwa na JK.
8. Ubungo interchange- Tulichoaminishwa kwenye michoro ni tofauti na kinachoonekana.
9. Kuhamia Dodoma - Ilikuwa ni kujenga mtu kisiasa kuliko maslahi ya kitaifa.
Elimu bure- Hili likiendelea Tanzania itazalisha taifa la wajinga wenye vyeti.
10. Ajira na Mishahara- Hapa ni -100%

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mwamba ummemaliza
 
Kwa hiyo serikali kutochangia hata 100 huo ndo umeona ujanja.....yaani mtu akujengee nyumba usitoe hata 100 halafu uendelee kuamini akilini mwako kwamba hiyo nyumba ni yako, huoni hapa kuna kiini macho.....

..mimi nimemuelewa tofauti kidogo.

..hebu tuangalie mifano hii miwili.

A: chukulia mfano wa hasara ya ATCL ambapo zimewekezwa fedha za walipa kodi wa Tz.

B: linganisha na hasara ya kampuni ya ndege kama Precision Airline ambayo 100% ni fedha za muwekezaji.

..kati ya hasara hizo mbili wewe unaona ipi ina afadhali?

..ukipata jibu sasa lihamishie kwenye bandari ya Bwagamoyo.

Cc Mkaruka
 
Nenda kanye mbele huko mtu gani huna zuri hata moja, ni nchi gani ilinunua ndege kwa pesa zake ikapata faida ndani ya muda mfupi, pili nikukumbushe tu kazi ya serikali ni kutoa huduma sio kufanya biashara, sasa kuwa na soko au stend nzuri unataka serikali ipate faida we zuzu nini, magufuli ana mabaya yake kama binadamu lakn sio kama unavyosema wewe, time will tell, tuombe uhai
Chini ya awamu ya tano hakuna mradi hata mmoja uliofanikiwa.

1. UDART - Dar es Salaam umefeli vibaya
2. Ujenzi wa masoko nchi nzima hii yote ni miradi isiyo na faida kwa watanzania.
3. Ununuzi wa ndege - Hapa hasara hailezeki huku kukiwa na usiri kwenye ununuzi.
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege chato- Sitaki kuzungumza kabisa
5.Ujenzi wa barabara kipande cha Morocco--alipoingia akasema amefuta maadhimisho ya sikukuu ya uhuru hela zikajenge barabara ya Morocco ndani ya miaka 2 barabara hiyo hiyo ikabomolewa ijengwe tena.
6. Ujenzi wa stand za mikoa- Stendi nyingi zimejengwa kwa kutaka sifa na sio kuangalia uhitaji wa eneo husika. Mfano stendi ya mabasi Dodoma na Songea.
7. Bwawa la umeme la Nyerere linajengwa sio kwa merit zake ila kujustfy usitishaji wa mradi wa gesi ulioasisiwa na JK.
8. Ubungo interchange- Tulichoaminishwa kwenye michoro ni tofauti na kinachoonekana.
9. Kuhamia Dodoma - Ilikuwa ni kujenga mtu kisiasa kuliko maslahi ya kitaifa.
Elimu bure- Hili likiendelea Tanzania itazalisha taifa la wajinga wenye vyeti.
10. Ajira na Mishahara- Hapa ni -100%

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kaka umeongea kama muelewa na mchambuzi makini, kuna watu wanaleta ushabiki na chuki dhidi ya jpm. Lazima tuelezwe tuelewe bandar ya bagamoyo itafanya nini na port zetu zitafanya nini na faida na hasara
Hata Lowasa alisema wakati wa kampeni 2015 atavunja ujenzi wa bandari ya bagamoyo na mara moja angeanza kujenga na kupanua bandari ya Dar ,Mtwara na Tanga ndicho kitu alichokuja kufanya JPM baada ya kushinda uchaguzi.

Tayari bandari ya Dar imepanuliwa kwa gaharama ya trilioni 1.34 na uwezo wake umeongezeka mara 3 zaidi. Bandari ya Mtwara upanuzi umekamilika kwa gharama ya billion 307 na kuanzia mwaka huu korosho zote za kusini hazitaletwa bandari ya Dar tena ,zote zitasafirishwa kupitia bandari ya mtwara. Mafuta yote ya kusini sasa hivi yanashushwa Mtwara direct.

Bandari ya Tanga kandarasi yupo site.

Je hao wachina wanaotaka kuwekeza bandari ya trillion 23 bagamoyo mizigo wataitoa wapi?
Watapitishia nini hapo?

Urithi siyo majumba na magari tu hata maneno ni urithi pia, yanaweza kuishi miaka 200 ijayo. Hapa JPM ametuachia urithi ,hiyo timu inayofanya mazungumzo lazima wazingatie maneno haya ya JPM kama guidline, wakipuuza makaburi yao yatakuja kufungwa pingu miaka 20 ijayo.

Ndugai wachina walimlipia kila kitu kwenda China kumuonyesha presentation ya jinsi gani mradi wa bagamoyo ulivyo na manufaa kwa Tanzania.!!

Bila shaka kwenye mazungumzo mkataba wa bandari ya bagamoyo utapitiwa upya na kufumua mashariti yote yasiyo na tija kwa nchi yetu.

Ila case study ya miradi kama hii tayari ipo Zambia, Kenya, Siri lanka tunaweza kwenda kujifunza na kurekebisha makosa.

Ngoja tusubiri na kuona.
 
5. Pia serikali itagharamia kazi ya kuongeza kuna cha bandari
1.Usiendeleze bandari yoyote
2.Usijenge barabara hata za kusini
3.Umiliki wa ardhi miaka 99
3.Usihoji kuhusu matumizi ya Ardhi
4.Marufuku TRA kufika Bagamoyo
5.Gawio la mapato ya bandari litaamriwa na mwekezaji atakapopenda.
.
.
.
Nikasema waliokubali mkataba kama huu ni uzao wa Mangungo.
 
Bandari ya Dar es Salaam kwa sasa ni ndogo sana kwa ustawi wa Uchumi hasa ukizingatia kuwa tumeshaingia uchumi wa kati, tunatakiwa kwenda juu zaidi.
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
Mbona unajichanganya hivi?

Kusudi la mada yako ni lipi hasa, kuelezea juu ya hizo 'access na exits' ulizoweka humo kwenye mada?

Huyo "white elephant", mbona hukumwonyesha nasi tumwone?
 
Je hao wachina wanaotaka kuwekeza bandari ya trillion 23 bagamoyo mizigo wataitoa wapi?
Watapitishia nini hapo?
Hili lina jibu lake, huenda hujalitafuta vya kutosha hata humu humu JF.
Bila shaka kwenye mazungumzo mkataba wa bandari ya bagamoyo utapitiwa upya na kufumua mashariti yote yasiyo na tija kwa nchi yetu.
Hili ndilo ninalolitazamia sana kwenye hiyo timu ya majadiliano. Kama kweli kuna watu wanaoijali Tanzania kwenye timu hiyo, sina pingamizi na ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hiyo bandari itakuwa ni ya manufaa makubwa sana kwa nchi yetu.
 
..mimi nimemuelewa tofauti kidogo.

..hebu tuangalie mifano hii miwili.

A: chukulia mfano wa hasara ya ATCL ambapo zimewekezwa fedha za walipa kodi wa Tz.

B: linganisha na hasara ya kampuni ya ndege kama Precision Airline ambayo 100% ni fedha za muwekezaji.

..kati ya hasara hizo mbili wewe unaona ipi ina afadhali?

..ukipata jibu sasa lihamishie kwenye bandari ya Bwagamoyo.

Cc Mkaruka
Huyo mwekezaji wa kichina atafaidi kila kitu kwa 100%, yaani ni kana kwamba hilo eneo tumewazawadia wachina wafanye uwekezaji wao, bwerere, waluguru wanasema chobwedaa.........na hapo hapo watatudai pesa ya kuichimba hiyo bandari, hatari na nusu....
 
Nadhani Huo Mkataba utafanyiwa variation. Kuna mambo mengi yameshabadilika. Bandari ya Dar es Salaam upanuzi umeshaanza au kukamilika, bandari ya Tanga kuna jambo linaendelea pale.

Kwamba tulikuwa tunauhitaji mradi huo hilo lilikuwa bayana. Tatizo lilikuwa ktk terms and coditions.

Hata Rais Magufuli alizungumzia uhitaji wa kurekebisha terms and conditions kwamba zikienda hivyo zilivyokuwa, maslahi kwetu yangekuwa madogo.

Mimi suala langu kubwa ni our Export Capacity Utilisation, Je, tumeanza kuchukua hatua kuweza kunufaika na bandari hiyo kwa ajili ya exports au itakuwa bandari ya kushushia Imports zaidi?

Lakini pia huenda tukahitaji ujenzi mkubwa wa dedicated Railways na Access and exit roads kwenda na kutoka bandari hiyo, ambazo hazitatumia conventional passages tulizo nazo. Sisi tumejipangaje kuliona na kulitekeleza hilo, hizo ndizo changamoto.

Tusije kujenga a White Elephant Port yenye capacity kubwa ambayo hatutaweza kuifikia kwa muda mrefu ujao.

Bandari ya Dar es Salaam kwa sasa ni ndogo sana kwa ustawi wa Uchumi hasa ukizingatia kuwa tumeshaingia uchumi wa kati, tunatakiwa kwenda juu zaidi.
Uzi wako umechanganyachanganya maneno ya kiingereza ili uonekane msomi, lakini hamna lolote. kwanza mradi wa Bagamoyo sio wa serikali wala mkopo kwetu, hivyo hiyo white elephants ni kwa hao wawekezaji, je kuna muwekazaji wa kuweka $10b= 23t kwenye hasara? Na inawezekana vipi mtu ajenge mradi wa bandari wa 23t ashindwe kuweka hizo barabara za kufika hapo bandarini? Ifahamike mbali ya ujenzi wa hiyo bandari kutakuwa na ujenzi wa viwanda zaidi ya 900, hata kama sio kwa mpigo ila hiyo ndio plan. Acheni kujifanya wasomi huku mkifanya upotoshaji wa kijinga.
 
Huyo mwekezaji wa kichina atafaidi kila kitu kwa 100%, yaani ni kana kwamba hilo eneo tumewazawadia wachina wafanye uwekezaji wao, bwerere, waluguru wanasema chobwedaa.........

Hivyo viwanda vitakavyojengwa hapo navyo watafanya kazi wachina tu? Isitoshe huo mradi ni ushirikiano baina ya China na Oman. Kuna upotoshaji usio wa msingi, na sababu hasa ni serikali yetu kuficha mikataba.
 
Back
Top Bottom